cHeKA kiDoGo tuuu, inatosha sana

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Hebu cheka
kidogo,,usinune usiku huu. Mke wa Kelvin anajivunia
mume mtulivu, hashindi baa
na hatongozi
videmu. Akitoka kazini
huenda kucheza basketball
na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe
akamhurumia. Anachoka
na kazi. Mtu gani
asiyependa starehe japo
kidogo? Mke akamlazimisha
outing, Kelvin akabisha lakini taxi ikafika.
Gonga Club & Lodge. Walipofika mlangoni tu,
mlinzi akaita, Mambo Kelvin!
Poa
Nilidhani huwa huji club,
inakuwaje mlinzi
anakufahamu? mke akauliza
Yule mgambo, mchana
analinda ofisini kwetu,
usiku anapiga part time
hapa akajibu Kelvin. Wakachagua meza. Kukaa
tu tayari mhudumu
ameshaleta castle lager.
Akamuuliza mama
anakunywa nini. Mhudumu
alipoondoka mama akauliza,
amejuaje unakunywa castle
kama hakufahamu? Wakati Kelvin anajikanyaga
aanze vipi kujitetea,
mhudumu wa vyumba
akawa amefika na kuuliza.
Mkuu kama kawaida
nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji
nitawaletea huko huko Kufikia hapo mama akawa
hana simile tena,
akanyanyuka akitukana
kama
chizi. Akatoka nje mbio na
kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.
Wakati anapatana bei na
dereva, Kelvin naye
akaingia. Mama
yakamporomoka matusi
kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga
kwikwi akamsikia dereve
anasema. Duh, eee bwana Kelvin
huyu malaya uliyeokota leo
balaaaaaaaaaaaaaaa! Mamaa
akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
kwi kwi kwi kwi
 
Duu hatari, umenifanya na mm niwe makini na mtu wangu. Sitaki kuusemea moyo wake!
 
hahahaa duh..mbaya zaidi ni huyo muhudumu aliyeuliza kuhusu chumba no.5 na huyo dereva,ndo wamemmaliza kabisa huyo mama
 
Back
Top Bottom