Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,944
- 1,431
Kuna hali mbaya sana itakuja kutokea kwenye hii nchi na itachafuka sana, huu ni msemo wangu labda tusubirie na tuone wapi tunaenda,maana sasa hivi CCM wanaamua kuingiza nguvu kwenye sehemu ambazo nguvu haziitajiki, eti mtu akipinga anafungwa miaka mitatu,
Wafahamu kwamba gaddafi walimchomoa kwenye nchi yake na kaitawala zaidi ya miaka 40 na kitu na alikuwa anaijua vizuri kabisa na kila kona,so zaidi me nasema kwamba CCM mnaenda kubaya, na bora JK uachie ngazi tu mapema kabla nchi haijachafuka au hujafanya ichafuke....
N.B hii comment siku ya siku nitakuja kuiweka hapa jamvini nitainzishia thread kabisa, kwamba kuna machafuko yanakuja kutokea soon......