Check in progress tokea majuzi,wakati zilikuwa safi nisaidieni kinaendelea nini?

BONANJE

Member
Jul 13, 2012
34
3
Hivi jamani Tcu kuna nini na mtambo wao?Maana wadau wanakutana kesho kufanya selection lakini program zangu zinasema check in progress tokea majuzi,wenzangu kuna mabadiliko yoyote?
 
mkuu hizo habari kwamba wanakutana kesho umezitoa wapi??...source plz
 
Chanzo Tcu,Wanakutana kesho wewe baada ya kesho anza kusubiri lolote achana na mengine yote,Ila nimeambiwa achana na hiyo sytem (cas) inavyojisearch,hiyo kazi yake imemaliza zimebaki mbwembwe tu hamna ya ku login kule lbda anza weekend
 
embu nyoosha maelezo vizuri mkuu tukuelewe zaidi...
 
Chanzo Tcu,Wanakutana kesho wewe baada ya kesho anza kusubiri lolote achana na mengine yote,Ila nimeambiwa achana na hiyo sytem (cas) inavyojisearch,hiyo kazi yake imemaliza zimebaki mbwembwe tu hamna ya ku login kule lbda anza weekend

kwa iyo una maana ndani ya wiki hii kila kitu kitakuwa sawa au ni vipi?
 
Chanzo Tcu,Wanakutana kesho wewe baada ya kesho anza kusubiri lolote achana na mengine yote,Ila nimeambiwa achana na hiyo sytem (cas) inavyojisearch,hiyo kazi yake imemaliza zimebaki mbwembwe tu hamna ya ku login kule lbda anza weekend
mana embu nieleweshe kidogo hapo!!!
 
Selection zimeanza kutangazwa kimya kimya.sema nyie hamfuatlii 2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom