Cheap Cars- Magari bei rahisi hayo (Rav 4, GX110, Gx100, Vitz, Toyota Hilux)

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
571
214
Magari yafatayo yako sokoni

piga 0719539431(larson) ku ona Gari au kukunua Gari

kwa anaetaka kuona au kununua piga nanba hii hapa (0719539431)pia tebmbelea blog yetu kwa picha detail na magari zaidi

DSC00139.JPG

Tsh 8Mill (negotiable
Not registered


DSC00141.JPG

Tsh10.5 million (maelewano yapo)
Millage-66325Km

DSC00150.JPG

Tsh 8.5 million (maelewano yapo)
Millage-89,000Km


DSC00154.JPG

Tsh12.5 million (maelewano yapo)
Millage-91,215Km


DSC00160.JPG

Tsh 8million(maelwano yapo)
millage-98,250km


DSC00166.JPG

Tsh 33 Million (maelewano yapo)
Millage-154,000Km







DSC00095.JPG

bei 8 million(maelewano yapo)



DSC00108.JPG

(D4) bei 6 Million


DSC00127.JPG

millage-89,000Km
bei-11 Million(Maelewano Yapo)


DSC00129.JPG

millage-88,000 Km
bei-10.5 Million(Maelewano yapo)


DSC00132.JPG

millage-90,000KM
bei-11 Million(Maelewano yapo)
 
unanunua leo kesho engine down
mwanagu gari halinunuliwi kama karanga .Ukitaka nunua used car unaenda na fundi wako anakagua gari kila kona .kama bovu atakuambia biashara haifai.leo nimemuzia jama wa humu ndani vitz kaja na fundi wake karithika akachukua mali yake .na sisi si wajinga tu huze Gari bovu wakati hii ndio biashara inayo tuweka mjini ya magari Ni sawa na kujiharibia biashara,kuwa mjanja basi hata kidogo chaliangu so karanga hizi
 
Carina!!!!!!! yenye millage na mwaka waku tengenezwa kama hii ntaftie mwanagu nataka nunua, Deal zangu ndio kununua na kuuza kama unayo na unajua ilo safi we ni PM nije ona Ikiwa kama hii nanunua
 
Tuna stock kubwa kadri tunavyo pata na amini iko siku utapata itakayo kuhamasisha
 
Safi ndg yangu Networker. Mimi nina gari Suzuki escudo la mwaka 1995 safi km 48,000 naliuza kwa 9ml. Nitafutie wanunuzi pia.
 
Karibu sana pia unaweza tembelea blogyetu bonyeza hiyo link kwenye mabano ( Magari ) kwa magari zaidi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom