Chato Kunatisha: Fedha za miradi za Halmashauri zaliwa

kula na kusahau ndio mtindo wa ccm

lakini maghufuli anahangaika na jiti mbili mbili za wenzake huku, kwake watu wanakula hata hawasazi wala nini!!!

kwa mtu anayejua delegation of power na division of labour hawezi kuandika ujinga kama unaoandika wewe magufuli ni waziri wa ujenzi tanzania ha deal na kaeneo kadogo kama wilaya ya chato na kigamboni. Angalia barabara ya kwenda chato iko kama ya kwenda kwenu kaka? Hata baiskeli hazipiti. Una maana hata polisi wakifanya makosa aulizwe magufuli, daktari akiiba madawa aulizwe magufuli, mwanafunzi kapata mimba shuleni aulizwe magufuli. Nasema narudia magufuli anajua kazi yake haingilii wizara nyingine eleweni hilo yeye siyo mrema. Dr. Kaza buti ukiona unasemwa maana yake unafanikiwa na mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe toka lini mwarobaini ukaukuta watoto wapopoa matunda yake? Lakini mpera na jamii yake watu ndipo wanapopoa matunda angalia kaka majungu yasikutishe fanya kazi yako wasio jua kitu watabaki kulalamika tu.
 
Pamoja na Mwanri kuunguruma, huwa hana ufuatiliaji wa maagizo yake! Amefanya ziara kama hii mwaka juzi lakini hadi leo aliyotolea maelekezo hayajanyiwa kazi na wahusika katika maeneo mbalimbali mfano katika mkoa wa Pwani na leo anatoa maelekezo mengine. Viongozi wawe wafuatiliaji wa maelekezo yao vinginevyo wanajidharaulisha mbele ya watendaji!

Umenikumbusha wimbo wa Joti wa mbwa koko ana bweka kweli lakini haumi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Magufuli ameshindwa kusimamia fedha za umma kutumika vizuri jimboni kwake na kukimbilia kutafuta sifa za kijinga dar es salaam.

Watu wamekula pesa ya majosho na hospitali bila hofu ya magufuli. Inawezekana jimboni kwake hafiki anaishia kuzurura maeneo mengine.

Anatafuta sifa toka mda mrefu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kwa mtu anayejua delegation of power na division of labour hawezi kuandika ujinga kama unaoandika wewe magufuli ni waziri wa ujenzi tanzania ha deal na kaeneo kadogo kama wilaya ya chato na kigamboni. Angalia barabara ya kwenda chato iko kama ya kwenda kwenu kaka? Hata baiskeli hazipiti. Una maana hata polisi wakifanya makosa aulizwe magufuli, daktari akiiba madawa aulizwe magufuli, mwanafunzi kapata mimba shuleni aulizwe magufuli. Nasema narudia magufuli anajua kazi yake haingilii wizara nyingine eleweni hilo yeye siyo mrema. Dr. Kaza buti ukiona unasemwa maana yake unafanikiwa na mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe toka lini mwarobaini ukaukuta watoto wapopoa matunda yake? Lakini mpera na jamii yake watu ndipo wanapopoa matunda angalia kaka majungu yasikutishe fanya kazi yako wasio jua kitu watabaki kulalamika tu.

Unasema??
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Acheni kumwandama Magufuli,yeye ni mbunge tu wa Chato,ni mwakilishi wa wananchi wa Chato na sio mtendaji.Mtendaji ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Chato pamoja na watendaji wa halmashauri ya Chato.

Kundi hasimu na kundi la Magufuli wameanza kampeni ya kumchafua JEMBE Magufuli...viva Magufuli viva
Kumbe mlikuwa na kundi tayari?Halafu kujidai hakuwa na mpango wa kugombea urais!
 
Ni Mungu kaamua kumuumbua magufuli na jimbo lake yaani aibu tupu, nilitegemea kwake ni kusafi kumbe kuchafu kupindukia na bado skendo nyingi zitaibuka mpaka ataomba poo. mwanza kuna kaeneo inasemekana amejimilikisha na kana mgogoro nikipata ripoti kamili ntawatupia hapa jamvini.
vipi kuhusu ripoti kamili mkuu?
 
Back
Top Bottom