Chatanda analindwa na nani?

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,984
2,587
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf
 
Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwanda na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa Majoho!
 
Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwana na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa Majoho!

Mkuu ukiondoa hizo herufi nyeusi kwenye hilo neno inakuwa poa sana...
 
Analindwa na tunguli zake, na yule kigogo anayemfanya yeye usingizi
 
Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwanda na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa
Majoho!

You must be in toilet....
 
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf

Mbona jibu rahisi. Kwani we hujui. Analindwa na "the river between" her legs. kama si hivyo ni nini. Madudu yote anayofanya wote wa CCM wanamwangalia tu.
 
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf

Mojawapo ya "vibustani" vya jaa la kaya.
 
Nauliza tu: Tangu lini 'wazalendo wa magamba wamekuwa wasikilizaji wa malalamiko ya Chadema?
 
let her talk!! jamani!! mary chatanda ana roho ngumu karibu ya paka! wengine wakisemwe tu mbio madarakani lkn kaonyesha yuko bingo bado!! kaaazi ya siasa
 
Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwanda na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa Majoho!
Mimi binafsi bado namtaka aendelee kuwa Arusha kwavile ana mchango mkubwa kwa demokrasia nje ya magamba. Nashukuru hata nyie magamba madogo madogo mnaojipendekeza mmetambua kuwa haelewani na Lowasa, Millya na wengineo. Ufahamu unapomtaja EL na Millya sio wa2 tu, kuna kundi kubwa nyuma yao. Lakini tunataka zaidi ya hapo, asielewane na magamba mengine makubwa makubwa ya nchi hii ili tutengeneze demokrasia ya ukweli na tuachane na magamba. Alipoondoka Makamba Senior tulisikitika kwavile alitusaidia kuwaonyesha watz true colours za magamba. Tukajaliwa kumpata Kitanda, na kimsingi tunahitaji vitanda zaidi kutoka humo humo kwenye magamba ili wananchi waendelee kuyajua magamba kwa rangi zao halisi. Hebu mlioko huko tutafutieni magamba mengine ya type hiyo tuyape kazi.
 
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf

Analindwa na mapacha watatu.
 
Ni kiburudisho cha magamba makubwa makubwa.
Anaulinzi mkubwa sana nawaombeni mmwache tu ila ni Kati ya watt wanaoimaliza ccm Arusha pia ni furaha kwa chadema waendelee tu kumwacha wala wasimwondoe maana anakiburi kikubwa mno.
 
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf
Mgongo halisi.....Wewe unaonesha kabisa ni CDM, sasa mambo ya CCM yanakuwashia nini? chundu kwelikweli wewe!
 
Back
Top Bottom