nafahamu mnajua application nyingi za kuchat kwa simu ila i think hii ni nzuri kwa watu wa simu ambazo sio smartphone na wanataka kuchat at the same time kubrowse kutumia njia hii
Kwanza uwe umelogin facebook katika opera yako then click link hii
https://touch.facebook.com/buddylist.php
Enjoy facebook kwa operamini then bookmark ili next time uspate shida[/QU
it works thx sana mkuu