Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,957
- 93,938
huz ndo kwanza nimefika hosp, tumbo limeshuka na kijacho anataka kuuona ulimwengu sasa. please hebu fanya maandalizi ASAP
mwenzenu natarajia ujukuu..
huz ndo kwanza nimefika hosp, tumbo limeshuka na kijacho anataka kuuona ulimwengu sasa. please hebu fanya maandalizi ASAP
Penzi halikomeshwi kwa kujifungua,upendo katu hauna uzio
kunikataa kwako uhai wangu wauua,nakufa kwa kukosa nionee huruma mwenzio
hakika moyo wangu waugua,kusubiri penzi lako ndio kizuio
CL moyo wako fungua,unipende bila kujali visingizio
ntatuma wajumbe, St. Paka Mweusi kiongozi
kwa Madame B utakiona kimbembe,kwani hata Arabela kanibebea bendera ya mapenzi
wote hao wanakuja kama wajumbe,wengine siwataji usije wapiga makwenzi
ninakupenda sana ndio wao ujumbe,ukiupokea jibu hima kimapenzi
tuliona kauzibe zimezidi, tukafunga kimyakimya. tulikwenda kwa mchungaji wa JRC pale kirumba tukiwa mimi, my huz @C6, bestman Chimbuvu na bestlady wangu tu. tukamaliza mambo!
pasua kichwa jipange vizuri!
pasua kichwa jipange vizuri!
Hakika nisingekuwa naheshimiana na c6 na cl ningekupa tafu lakini hapo inabidi ukubali matokeo kama ruttashobolwa alivyokubali nilivyompora mabame b.