charminglady kafiwa na bibi yake!

Pole sana shost Charminglady

Inna Lillah Wainna Ilayh Rajiun
Sisi sote ni wa Mungu mmoja na kwake tutarejea.
AMIN
:rip: grandmama.
 
R.I.P Bibi yetu! Tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi! Pole sana Charminglady! Kazi ya Mola haina makosa.
 
Pole sana ndugu yetu Charminglady, Mwenyezi Mungu akupe moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
 
hali zenu, nasikitika kuwataarifu kuwa nimefiwa na bibi yangu. nipo safarin kuelekea msiban. please prayer for me guys. . . .

dah!RIP bibi,nenda salama ukatuandalie makazi sisi wajukuu wako.

pole sana baby cool, charminglady Mwenyezi Mungu akupe uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom