Charming lady....................

BadiLITABIA humjui..mbeya huyoo

BADILI TABIA hana umbea wowote!
Ni kweli JOB TRUE TRUE !
BT ana ability ya kuona mbali .
Kama nionavyo mie hapa "CHANDARUA-KAZI" (Network) za watu flaniflani zitapoteza.
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA hana umbea wowote!
Ni kweli JOB TRUE TRUE !
BT ana ability ya kuona mbali .
Kama nionavyo mie hapa "CHANDARUA-KAZI" (Network) za watu flaniflani zitapoteza.
Judgement na wewe unamuunga mkono Badilitabia?............umejuaje anaona mbali
 
Last edited by a moderator:
ndio nimekuja kuthibitisha

Haya sasa sema mpendwa! Umeamua kimpokea rafiki yako awe mke Wa pili??? Huyo Saint Ivuga anasemaje? Mbona hajalipa mahari??? @Sobhuza akitoka kifungoni mtakoma wote....don't say I didn't sikuwatahadharisha
 
Last edited by a moderator:
Judgement na wewe unamuunga mkono Badilitabia?............umejuaje anaona mbali

Yaani inshort hapahitajiki maelezo ya ziada ktk utambuzi, mtu mzima usomapo comments walau 3 tu, za mtu zatosha kutambua her/his abilities.
Huyu Bidada yuko makini, pamoja na kua wapo wengi, huyu ni mf. wao .
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom