Chanzo ni wanaume!!!!!!!!!!!!!

dorcas1234

Senior Member
Mar 13, 2012
116
34
Mwisho wa wiki nilimsindikiza rafiki yangu kariakoo alikuwa ameelekezwa na mtu kwenda kutafuta dawa yakui
toa vichunusi,sasa tulipofika hapo kumbe duka ni la mzaire mana nilisikia wakimuita papa.Baada yakuhudumiwa mara akatokea dada mmoja nikasikia anamwambia papa,nimekuja kuweka hips,nikashangaa nikamuuliza kwani huduma hiyo ipo?papa akanizodoa eti unashangaa nini?

mara dada huyo akajitoma ndani nami nikawa makini kuona nini kinaendelea jamani niliyoyashuhudia ndiyo yamenifanya niandike,papaa akachukua mabomba yasindano kan
ma yakuchoma ng'mbe akajaza dada akavua sket yake papaa akachoma kushoto na kulia kisha dada akaambiwa asubiri dkk 20,baada ya dkk hizo dada anavaa sketi haiingii mahipsi yametuna papa akamwambia sketi haiwezi pita kama vp nunua dela,nami sikukubali nikamwambia dada naomba kuhakikisha kama kweli ni yaukweli loooh!nilipogusa kama nimeshika godoro,dada akavaa dela akaishia zake na hips zake.

Nasema nyie wanaume ndiyo chanzo kwa mfano,ukiingia love connect utakuta mtu anatafuta mwenza sasa ivo vigezo mwenyewe unachoka.Mara awe na mahipsi,kijungu cha maana,na mengine mengi ambayo yanawafanya wenzetu wanahangaika kama hivyo.

Kina kaka punguzeni maharti na vigezo jamani.

NAWAKILISHA.
 
chanzo si wanaume.....ni akili yako mwenyewe mwanamke....
km umelelewa vyema..maadili mema na uwoga wa mungu ukawa nao na kijielimu kdg basi nadhan vtakusaidia katika kuthk na kureason kila jambo unalotaka fanya.....

yaan ujiharibu kisa mwanaume?
MBONA AKIKWAMBIA BIBIE KALALE CHOON LEO AUEND Y?KWANINI AKIKWAMBIA MI NAPENDA UWE MWEUPE BASI FASTA MKOROGO UKO WAP....NI WEWE UNA MSIMAMO GAN NA UNATAKA NINI ..MSIWASINGIZIE WANAUME....ukiwa na msimamo na mwili wako akikwambia masuala ya kwa mchina sjui kaongeze **** kajichubue utamjibu tu baba samahani mi sina lakin kuna wadau wanayoso pls the dooor is open u just go....ntampata atakayenipenda na matakao yangu ya bat na hips zangu za mjomba.....ahh jaman sjui twaenda wap....akil za kike zazid didimia kicosmetics:scared:
 
Jamani dada zangu ridhika na ulichonacho, sio wanaume wote wanapenda waliojazia wengine hupendelea flat screen!! Hawa madawa na masindano yatawathiri hapo mbeleni
 
chanzo si wanaume.....ni akili yako mwenyewe mwanamke....
km umelelewa vyema..maadili mema na uwoga wa mungu ukawa nao na kijielimu kdg basi nadhan vtakusaidia katika kuthk na kureason kila jambo unalotaka fanya.....

yaan ujiharibu kisa mwanaume?
MBONA AKIKWAMBIA BIBIE KALALE CHOON LEO AUEND Y?KWANINI AKIKWAMBIA MI NAPENDA UWE MWEUPE BASI FASTA MKOROGO UKO WAP....NI WEWE UNA MSIMAMO GAN NA UNATAKA NINI ..MSIWASINGIZIE WANAUME....ukiwa na msimamo na mwili wako akikwambia masuala ya kwa mchina sjui kaongeze **** kajichubue utamjibu tu baba samahani mi sina lakin kuna wadau wanayoso pls the dooor is open u just go....ntampata atakayenipenda na matakao yangu ya bat na hips zangu za mjomba.....ahh jaman sjui twaenda wap....akil za kike zazid didimia kicosmetics:scared:
Me loves you.
 
kwani unadhani wanaoenda kwa mchina wanaambiwa nenda? la hasha wanajipeleka wenyewe maana wanaangalia mtazamo wa kaka zetu.
 
Mmmh, dakika ishirini tu? Halafu italast for how long? Nilidhani ni process ambayo inachukua about miaka kadhaa hadi kuweza kudevelop. Sasa kama ni dakika ishirini tu, huyo mchumba siatayashitukia kuwa ni mahips ya bandia? Yaani wewe asubuhi mchumba wako ametoka akiwa flat, jioni arudi amejazia, mbona anapigwa chini instantly!
 
Chanzo ni ULIMBUKENI na KUKOSA KUJIAMINI kwa mtu binafsi na sio mwanaume.

Sijawahi hata fuga au kata kucha zangu zaidi ya nnavyopenda alafu leo hii nikaongeze hips na lawama nimrushie mwanaume? You oughtta be kidding me.
 
Kwani sasa hivi unazo hips?
 
khaaaa dunia ina mambo
kwani lazima uolewe na wapenda hips wa bongo?
wazungu si wapo?
 
kwani unadhani wanaoenda kwa mchina wanaambiwa nenda? la hasha wanajipeleka wenyewe maana wanaangalia mtazamo wa kaka zetu.

sasa kwani mimi nimesema nini ?
au aujaelewa nilichoandika?

mwite mdg wako wa std 4 atakusaidia kukuelewesha:A S-frusty2:
 
Mwisho wa wiki nilimsindikiza rafiki yangu kariakoo alikuwa ameelekezwa na mtu kwenda kutafuta dawa yakui
toa vichunusi,sasa tulipofika hapo kumbe duka ni la mzaire mana nilisikia wakimuita papa.Baada yakuhudumiwa mara akatokea dada mmoja nikasikia anamwambia papa,nimekuja kuweka hips,nikashangaa nikamuuliza kwani huduma hiyo ipo?papa akanizodoa eti unashangaa nini?

mara dada huyo akajitoma ndani nami nikawa makini kuona nini kinaendelea jamani niliyoyashuhudia ndiyo yamenifanya niandike,papaa akachukua mabomba yasindano kan
ma yakuchoma ng'mbe akajaza dada akavua sket yake papaa akachoma kushoto na kulia kisha dada akaambiwa asubiri dkk 20,baada ya dkk hizo dada anavaa sketi haiingii mahipsi yametuna papa akamwambia sketi haiwezi pita kama vp nunua dela,nami sikukubali nikamwambia dada naomba kuhakikisha kama kweli ni yaukweli loooh!nilipogusa kama nimeshika godoro,dada akavaa dela akaishia zake na hips zake.

Nasema nyie wanaume ndiyo chanzo kwa mfano,ukiingia love connect utakuta mtu anatafuta mwenza sasa ivo vigezo mwenyewe unachoka.Mara awe na mahipsi,kijungu cha maana,na mengine mengi ambayo yanawafanya wenzetu wanahangaika kama hivyo.

Kina kaka punguzeni maharti na vigezo jamani.

NAWAKILISHA.

Naomba nielekeze kwa huyo papaa namimi nimpeleke wifi yako
 
kwani unadhani wanaoenda kwa mchina wanaambiwa nenda? la hasha wanajipeleka wenyewe maana wanaangalia mtazamo wa kaka zetu.

yaan dorcas ni kwamba km ulivyosema awa wenzetu awaambiwi nenda lakin km wwe una msimamo na una maadili mema sidhani km utapelekeshwa na adventures na illusions zote ambazo wanaume wanataka wanawake zao wafanye...akikwambia toa jicho moja utatoa?toa vdole viwili...jipake mavi ya mbuzi utapendeza.....jipake mkojo wa nyan ntakupenda zaid..ahh ndoivo basi km vingine unaweza kukataa vingne kwa nini vngne ukubali?

wanawake wasio na msimamo.ufinyu wa kufikiri.upungufu wa maadili na kutokumjali mungu ndo kunasababisha mtu ukiambiwa kajipake mavi...unapaka...kajiongeze kisgino unaenda....

ahh tuwaombee tu ndgu yangu lakin napinga ova kupinga et wanaume wanasababisha....ni wewe mwsenyewe kutokujitambua na kujikubali plus kutokujiamin.....

poa wangu byeeeee mi nafunga novena kwa ajili yao wewe je?ahh kumbe kwaresima ehh ..iv novena ndan ya kwaresima inakubalika?
 
Back
Top Bottom