Chanzo kikuu cha mapato ya serikali yetu

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Pamoja na kudharaulika na jamii lakini hawa watu ndio chanzo kikuu cha mapato ya ndani ya serikali yetu.Na siku wakigoma kutumia hicho kinachotegemewa na serikali kimapato tutakuwa katika hali mbaya sana.Hivyo tusiwadharau hawa kwani ni kama mabosi zetu,tuwapende na tuwajari huku tukiomba wazidishe matumizi zaidi ya hivi ili kutuongezea mapato.
 
Attachments

  • 086.JPG
    086.JPG
    20.3 KB · Views: 111
hahaha , haya bhana , serikali imeshindwa kutumia migodi, misitu, kupata mapato mapato, kila siku kuongeza kodi kwenye vinywaji tu!! upuuzi...!!
 
hahaha , haya bhana , serikali imeshindwa kutumia migodi, misitu, kupata mapato mapato, kila siku kuongeza kodi kwenye vinywaji tu!! upuuzi...!!

umesahau na utalii kaka. What a hopeless leadership. Wamekazania walevi tu, shame on u!
 
umesahau na utalii kaka. What a hopeless leadership. Wamekazania walevi tu, shame on u!

rily, shame on them, wamekalia vinywaji na masigara....!!! bandari peke yake ingeweza tupatia asilimia 20% ya mapato yetu...
 
Back
Top Bottom