Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Tatizo mojawapo ni Nyumba ndogo na huo ukali. Wewe kama mzazi huna hati miliki ya mtotot, mwenye hati miliki ni Mungu ambaye anaweza kuichukua hiyo hati miliki muda wowote. Sasa suala la kijifanya mkali eti unafundisha tabia wakati haohao watoto ndiyo rafiki zako wa karibu na ukweli haijalishi, wakikuchukia au kutokuwa karibu na wewe usianze kulalamika.unajua si marazote wakinababa wanakuwa wakorofi. Ila huwa wanasimama katika misingi ya kujenga familia na kuwa wakali pale mtoto anapotenda kosa. Hii tayari hujenga hali ya kuogopwa. Ila mama anapoongezea neno. Basi mtoto huwa kama amewekwa catalyst