JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,034
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
watoto nao wanaona yanayofanyika majumbani mwao,sio lazima,wapandikizwe maneno kutoka kwa mama zao.mfano upo kwangu tu,nilikuwa nayaona wazi wazi,haikuwa na haja ya kuambiwa na mama.ila simchukii baba yangu,ila ukaribu haupo
Hata mimi nampenda sana Mama japo simchukii Baba.
Huwa nikitaka kuongea nae hata kwa njia ya simu lazima nipige goti chini japo yeye hanioni.
watoto nao wanaona yanayofanyika majumbani mwao,sio lazima,wapandikizwe maneno kutoka kwa mama zao.
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
Ndio maana nimeuliza ni watoto gani hasa tunaongea hapa? Maybe wale walio zaliwa nje ya ndoa na kukutanishwa na baba baada ya kupata biased picha toka kwa mama?Huu utafiti uliufanyia wapi na lini?, usilete uzi wa hisia hapa! Watoto wanampenda baba kwa upendo unaostahili, na hivyo hivyo kwa mama. Sema labda wanaweza kuwa karibu na mama zaidi kuliko baba kwenye familia ambazo mama anapika lakini zile ambazo anapika dada, watoto wanawaona wazazi wote sawa tu!
Utachukua hauta gani zaidi ya kuwa mkimya! Unadhani unaweza kuwa hakimu wa wazazi wako? Na ulishaona wapi hakimu anapendwa na upande aliouhukumu?sawa.....sasa umechukuwa atuwa gani.