katelero
JF-Expert Member
- May 31, 2010
- 529
- 83
Pamoja na hayo unayosema,m wanaume siku zote ni mtu wa kushikwa tamaa anapoona mavazi ya aina hiyo, kwa kuwasaidia wanaume dawa ni kuvaa nguo ya heshima iliyofunika sehemu kubwa ya mwili, tamaa itatoka wapi kama mmevaa nguo za heshima?
La sivyo! Wanaume watawasumbua zaidi wanawake wa kuachia sehemu za mwili wazi!
kwani mwanaume akinisumbua lazima nimkubali, nakavaa kwa raha zangu, na si kusudi langu kumtega mtu yoyote, anaetegeka imekula kwake