Chanzo cha ukahaba na uzinzi

Ndiyo maana nimesitisha kuingia makanisa ya mijini!! kwa kiwango fulani wanawake waendao makanisani uvaaji wao ni kama wa mabaamedi, bora baamedi huwaga wanavaa hata t-shirts ambazo zinafunika vifua vyao na hata visuruali japo vingi ni vya kubana ili makalio yao yasitikisike.
 
.......Hiyo ni fashion tu, vumilia kidogo itapita kama inakukwaza........sio uzinzi huo hata wanawake wenye ndoa zao wanaitinga.

Kwani kuwa kwenye ndoa kuna epusha uzinzi? Wake za watu wnamegwa zaidi ya mashingingi mtaani.
 
Kwahiyo hapo ndio umeona kwamba umeweza kuepuka kwa kutokwenda kanisani, kama umekwenda kanisani kwa dhamira ya kusali utasali tu na hakuna kitu chochote kile kitakudistract sijui mwanamke kavaa nguo fupi wengi mnaenda kanisani ili kuonekana na mimi nimeenda kusali ndio maana pindi atakapotokea mwanamke amevaa nguo fupi kanisani lazima uwe distracted kwa kuwa dhamira yako haiko kwenye kusali bali unaenda ili mradi kutimiza wajibu kama una concentrate kumtafuta na kusikiliza neno la Mungu sidhani kama upata distraction yoyote ile
 
.......Hiyo ni fashion tu, vumilia kidogo itapita kama inakukwaza........sio uzinzi huo hata wanawake wenye ndoa zao wanaitinga.

Itakayofuata nadhani itakuwa ni noumar zaidi ya asilimia 75 ****** wazi! tukae mkao wa kuumia zaidi
 
Aliyekwambia wanawake wenye ndoa zao hawazini nani??

Kwani wanawake wenye ndoa hawazini?

Kwani kuwa kwenye ndoa kuna epusha uzinzi? Wake za watu wnamegwa zaidi ya mashingingi mtaani.

........Umesemajeee?
......... Naona wanaume mmenijia juuu, kama mnakwazika hizo ni tamaa zenu wenyewe.Kweli wapo baadhi ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanazini..........lakini kuvaa hivyo haimaanishi mtu mzinzi......wapo waaminifu kwenye ndoa zao na bado wanavaa hivyo.

Poleni ehehehehe kwa kukwazika na hiyo fashion.
 
Pamoja na hayo unayosema,m wanaume siku zote ni mtu wa kushikwa tamaa anapoona mavazi ya aina hiyo, kwa kuwasaidia wanaume dawa ni kuvaa nguo ya heshima iliyofunika sehemu kubwa ya mwili, tamaa itatoka wapi kama mmevaa nguo za heshima?

La sivyo! Wanaume watawasumbua zaidi wanawake wa kuachia sehemu za mwili wazi!
 
achane kujiona nyie ni wasafi sana mbele za Mungu wanafiki wakubwa nyie hakuna kanisa linaloruhusu kuvaa nusu uchi kanisani ukumuona mtu kama huyo ujue ni yeye binafsi siyo kwamba eti wakristo ndo uvaaji wao hapana mbona nyie wanafiki mkiwa misikitini manguo marefu lakini mkirudi mitaani ni wachafu wa mavazi tena wa kutupwa kazi kujionesha mbele za watu eti mmefunga hakika hampati thawabu kwa kujiweka mbele ya wanadamu eti mpo kwenye mwezi wa toba wanafiki wakubwa sanapatrickmadiya@ymail.com
 
Chanzo cha ukahaba na uzinzi kwakweli ni dada zetu jamani nyie ni chanzo binafsi napata shida sana napokuwa kwenye mizunguko yangu kila nnaye muona mara huyu maziwa nje,yule mapaja yote nje,pale chupi yote iko nje,wale ****** yako nje,huyu aaaaah jamani dada zangu badilikeni hamuogopi Mungu
 
Umesema ukweli mtupu! Wanaume siku zote akili zao huwa zinachafuka polepole wakishuhudia hayo mambo.
 
achane kujiona nyie ni wasafi sana mbele za Mungu wanafiki wakubwa nyie hakuna kanisa linaloruhusu kuvaa nusu uchi kanisani ukumuona mtu kama huyo ujue ni yeye binafsi siyo kwamba eti wakristo ndo uvaaji wao hapana mbona nyie wanafiki mkiwa misikitini manguo marefu lakini mkirudi mitaani ni wachafu wa mavazi tena wa kutupwa kazi kujionesha mbele za watu eti mmefunga hakika hampati thawabu kwa kujiweka mbele ya wanadamu eti mpo kwenye mwezi wa toba wanafiki wakubwa sanapatrickmadiya@ymail.com

Wacha hasira isio na sababu! Hapa halikusemwa kanisa wala ukiristo bali wale watendao uchafuzi wa pahala pa ibada. Hilo la unafiki lipo kila pahala lakini kwa sasa tunaangalia pahala pa ibada na matendo machafu hapo. Huu unafiki upo hata kwa wapenzi wetu mbali ya imani za dini!
 
achane kujiona nyie ni wasafi sana mbele za Mungu wanafiki wakubwa nyie hakuna kanisa linaloruhusu kuvaa nusu uchi kanisani ukumuona mtu kama huyo ujue ni yeye binafsi siyo kwamba eti wakristo ndo uvaaji wao hapana mbona nyie wanafiki mkiwa misikitini manguo marefu lakini mkirudi mitaani ni wachafu wa mavazi tena wa kutupwa kazi kujionesha mbele za watu eti mmefunga hakika hampati thawabu kwa kujiweka mbele ya wanadamu eti mpo kwenye mwezi wa toba wanafiki wakubwa sanapatrickmadiya@ymail.com

Kwa nini baadhi ya wana JF hupenda kuzigeuza thread kuwa malumbano baina ya ukristu na uislamu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom