Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanzo cha neno ''news''

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Godwine, Apr 1, 2010.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,351
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  prof. mmoja wa uingereza alikuwa akimfundisha mwanae somo la geography sasa ilipofika wakati anamwelekeza pande kuu nne za dunia mwanae alikuwa ****** anashindwa kukumbuka, kwa hiyo akaanza kumkaririsha kwa nguvu na kumwambia aandike kwa kifupi neno litalomkumbusha, ndio akaandika neno NEWS

  N----NORTH
  E-----EAST
  W----WEST
  S-----SOUTH

  Je kwanini linaendelea kutumika duniani ? nasi tumeshindwa kukumbuka pande za dunia?
   
 2. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #2
  Apr 12, 2010
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naona hii thread ingefaa kwa forum za UTANI !! kwa maneno mengine, haijakamilika. Huyo profesa hana jina? etc
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,351
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  lengo ni kuonyesha chanzo cha neno news, na kulichambua kwa undani kadri changamoto zinapopatikana
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Asante kwa kutujuza bingwa, mi ndo umenifungua macho!
  Sasa kama ilikuwa ni ufupisho wa pande kuu 4 za dunia, ikawaje likaletwa kwente HABARI(NEWS)? si lingebaki hukohuko kwenye jogolafia?
   
Loading...