The Boss, hii Ni topic nzito Sana and it needs a bible of explanation, just, think from the Congo river . To Burundi then Rwanda . Harafu Victoria . Upande mwingine n the Nile . It's more geographical na earth movements. Seismological survey ina all the answers you can possibly need. Ndo maana Uganda wana mafuta . Sisi hakuna , inategemea na earth movement kule chini kukoje, every river has a source na source Ya Nile iko upande wa pili wa Victoria , n Sawa na lake tanganyika, **** trench chini yake inatokea Japan. Hizi n geographical facts. Otherwise you ll need to understand how we find oil or gas, KWA nn irag has the purified oil ever.
Acha waganda waseme yao, but the know the fact. N Sawa na Kenya kasema klm n yao
The Boss, hii Ni topic nzito Sana and it needs a bible of explanation, just, think from the Congo river . To Burundi then Rwanda . Harafu Victoria .
Kuna watu humu wanavichwa vigumu hata uwaeleze vipi hawakuelewi ngoja nisepe zangu humu
Hii khabari ya Lake Tanganyika na Japan inabidi utuelezee vizuri, somo jipya hili kwangu nahisi itakuwa na kwa wengi pia.
Imenikumbusha kuwa asili ya watu wa Fiji ni Tanganyika tena walitokea hukohuko lake Tanganyika.
Unaona mambo hayo sasa.
Fijians believe that they originated from the shores of Lake Tanganyika ("fish bag" in Fijian) situated on the western border of Tanganyika (East Africa). Fable records that Lutunasobasoba, a powerful chief and navigator, guided his people in their huge ocean going canoes to their final landing place at Vuda (our source) on Viti Levu's western coast near Ba. Interestingly, one of the largest coastal river systems in Tanganyika (now Tanzania) is the Rufiji- made famous by the German Cruiser, the SMS Konigsberg, and von Lettow Vorbeck, the German General who kept the British Allies on the run throughout World War One.
Source: Chronological History of Tanganyika (Tanzania)
Kuna watu humu wanavichwa vigumu hata uwaeleze vipi hawakuelewi ngoja nisepe zangu humu
Kwa nini Watanzania wengi hatuwezi ku-explain masuala scientifically bila kumhusisha Mungu? Kwenye huu uzi tumeambiwa Mungu ana-reside Tanzania. Tukaambiwa chanzo cha mto Nile ni ziwa Victoria.
Halafu tukaambiwa kuwa Kikwete ndo aliyefanya "ubabe na kuyavuta [maji ziwa Victoria na] kuyapeleka Shinyanga na Sasa Tabora na kwingine....Kikwete ... akasema aahh, ujinga huu, watu wetu wana shida ya maji, maji yako kwetu, halafu tusiwapelekee? akaamuru miradi ianzishwe na watu wapelekewe maji. Naam, sasa hivi tunaona maji yakisambazwa kutokea Victoria kwenda Shinyanga na Tabora kwa ubabe wa Kikwete."
Sasa wewe unasema chanzo cha mto Nile ni "topic nzito Sana and it needs a bible of explanation". Sitashangaa wewe au mtu mwingine kuja na bible explanation hapa kuwa Bibilia inasema pia mto Nile utakauka kwani ni kweli Bibilia inasema hivyo (Isaiah 19:5, Ezekiel 30:12, Zechariah 10:11).
Utakauka kivipi? Atadai Bibilia inasema ziko njia nyingi za huo mto kukauka (Isaiah 11:15). Kwamba Mungu mwenyewe anayedaiwa ku-reside Tanzania anaweza kuukausha mwenyewe au atatokea mtu na kubadilisha mkondo wa mto kama historia inavyoonyesha pale Darous alivyovamia Babylon na kubadilisha mkondo wa Euphrates.
Au kama Hezekiah alivyofanya kwenye 2 Chronicles 32:3 (He consulted with his officials and military staff about blocking off the water from the springs outside the city, and they helped him).
Hapa wanaotumia "bible explanation" waunganisha dots na kutakuta kwamba lawama zote za kukauka kwa Nile zinaweza kumwangukia Kikwete kwa kuwa mbabe kuyavuta maji na kuyapeleka Shinyanga, Tabora na kwingineko.
Halafu utakuta wanatoa hiyo "bible explanation" wanatoka huko huko Shinyanga, Tabora na kwingineko Kikwete alikovutia maji kutoka chanzo cha mto Nile na kusababisha huo mto kukauka.

Yale yale aliyoyasema Mwanakijiji. "Hatupendi mambo ya kugonganisha vichwa; hatupendi kubishana na kuhojiana hadi mtu akubali kushindwa kwa hoja; tunapenda mambo mepesi mepesi.....
Hatupendi kuchukizana. Hatupendi mtu kubishiwa hadi akubali kwamba hoja yake ni ya kipuuzi. ... Mtu akitokea akisema sana na akizungumza kwa jazba na hoja za nguvu tunakimbilia na kusema "anajiona anajua sana". Na tukiona anatusumbua tunakimbilia kudai kuwa "anatumiwa" [au unasepa kama wewe, japokuwa bado huja-log out]. Tunapenda mambo mepesi mepesi.
Matokeo yake hata inapokuja mijadala kwenye nafasi zetu za kazi kuhusu miradi au mipango fulani hatutaki kuzama [unasepa zako]; tunazungumza juu juu tu tukitoka hapo ndio tunazungumza "unajua pale tungefanya hivi" tunabishania pembeni na si vikaoni; hatutaki kumuudhi bosi....
Matokeo yake tunaburuzwa; tunasukumwa sukumwa tunatikiswa tikiswa na wale wenye uwezo; tunanabakia kama alivyosema mtawala wetu mkuu "kufuata mkumbo". Kwa maneno mengine siye tupo tupo tu......
Tunapenda mambo mepesi mepesi, tunapenda majibu mepesi mepesi. Ndio maana sasa najua kwanini ilikuwa vigumu sana kwa watu kumshinda Nyerere kwa hoja hadi kufikia kudai kuwa "haambiliki". Kumbe walikuwa ni wepesi wepesi. Si tunawaona leo jamani!"
Chanzo: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/51791-watanzania-tunapenda-mepesi-mepesi.html
Madai ya kwamba chanzo chake ni Tz kweli yapo hata mimi niliskia. but ukweli wa madai hayo ni mdogo sana!!!!
Actualy ni tabia ya mito kufungamana ktk misimu ya mvua kali.
Ule mto unavyanzo (channels) vingi, but kwa ukanda wa huku Afrika mashariki na kati CHANZO CHAKE KIPO UGANDA.
kwanini nasema hivyo?
1. Ukirefer scramble of African continent (before partition = before 1884-5) iliyofanywa na wakoloni, kuna Expert wawili (majina nimesahau) walitrace river nile na kufikia ukingoni UGANDA, na hapo ndipo walipopiga kambi na kufanya mambo mengine ili kuhakikisha Uganda inatawaliwa. Jaribu kugugo Uganda preclude to colonialism.
2. Googe map inaonesha chanzo kipo Uganda, chazo cha mto nile kinapatikana kilometer chache kabla ya kufikia Lake Albert. ambapo ziwa likijaa maji hutoka na kuungana na hicho chanzo.
The Boss Ingia kwa google map ujionee mwenyewe.
Yakupasa uvumilie tu. kwa maana majibu ya wadau wengine yanaweza kukushawishi uulize na cv yake.
FaizaFoxy huyo mdau ungemuacha tu. Lake Tanganyika halina mahusiano hata na bahari ya hindi! itakua Japani?
Imenikumbusha kuwa asili ya watu wa Fiji ni Tanganyika tena walitokea hukohuko lake Tanganyika.
Mkuu EMT, HUKUNIELEWA, NILIPOSEMA IT'S NEEDS A BIBLE EXPLANATION, nilimaanisha Kwamba ili mtu akuelewe, unahitaji kuwa na kurasa nyingi Kama bibilia, najua unajua n nyingi kiasi gani. Kama huna basic knowledge ya geography, seismology na crust and rock formation kule chini,mits hard to get the concept.
Usiniangushe bana by "needs a bible of explanation" its simply an expression which means "it needs a lot of explanation", I dont think he meant God has to be involved.
Point yako namba 2 makes sense to me. Kuna wakati nilitembelea Uganda (ule mji unaitwa Jinja kama sijasahau) na mojawapo ya sehemu nilipopelekwa ni source of river Nile.Kilichonishangaza ni kwamba ile sehemu nilipoambiwa ndiyo source tayari kuna maji yanapita hapo yakiwa yametoka sehemu nyingine(mto na yanapita chini ya daraja kubwa tu kabla ya kufika hapo),nikawaza kwamba yule jamaa mwongozaji anatuingiza chaka na hakuweza kunielezea vizuri zaidi ya kunitajia jina la mzungu fulani kwamba yeye ndiye aliyegundua na it's documented, mimi niliamua kupuuza na kubaki na msimamo wangu kwamba chanzo kipo Tanzania. Na kule Uganda hiyo ni mojawapo ya vivutio vya watalii
Inasemekana kuna underground sources nyingi sana zinai feed Victoria na nyingi zaidi zipo Tanzania kuliko mito tunayoiona juu. Makes a lot of sense to me.
About 80% of lake victoria water is from precipitation (Rain), only about 20% is from rivers. Kwa wingi wa mito inayoingiza maji ziwani, Kenya inaongoza, ikifuatiwa na TZ .
These are facts, you can crosscheck with Lake victoria basin office in Mwanza, Kisumu or Jinja.
M
Kuan mwingine shoga'ngu anaishi Sinza, anasema hawajawahi kuona maji bombani kwa miaka kabla ya Kikwete, lakini leo mwaka wa tatu, anasema maji yanapanda mpaka juu ya matenki yenyewe bila pampu. Huoni kuwa ni maisha bora hayo?
Akiondoka Kikwete, In sha Allah, ntakuwa upande wa yeyote yule anaefanya kweli halafu anaonewa. Bure.