Kashi
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 897
- 743
Nisome vizuri, nimeandika Mkapa alilianzisha, naam aliuanzisha, lakini mradi ulisimamishwa baada ya wa Egypt kuja kulalamika sana na mwishowe wakaleta mitambo yakuchimbia visima badala ya kuyavuta maji kutoka Victoria. Mradi ukarudishwa tena na Kikwete.
Sina sababu ya kudanganya, ili iweje?
Acha kupotosha ndugu, mradi wa Victoria kwenda Kahama na Shinyanga ulikamilika kipindi cha mkapa. Kikwete aliuzindua tu katika mwaka wake wa kwanza madarakani.