Chanzo cha kufungiwa kwa mabasi ya Dar Express ni Ridhiwan JK

kweli ukiambiwa kua uyaone si magorofa. Hii ishu c fair washindwe na wakakamae kwa hujuma zao. Tena walaaniwe kuua dar xprec c that cmpo.
 
HI habari ni ya uowongo,inaweza kuwa ni imetolewa na Dar express wenyewe kwa kupotosha hiyo kampuni mpya na pia kufanya watu waichukie.Mimi nakaa Arusha na nilikuwa mteja wa Dar express kwa kuwa yalikuwa mabasi mazuri na ya uhakika kwa safari za dar na Arusha.
Lakini tangu mwaka huu uanze nimechukia mabasi yao kwani yamechoka na hawayafaii repair,Mfano juni nilisafari na dar exp nikapata seat ya dirishani alfajiri kulikuwa na baridi kweli tunatoka arusha kwenda Dar kioo kikawa hakifungi nikamuita konda akasema hawezi kufunga ni kibovu,nikajua ni bahati mbaya ,siku ya kurudi arusha nikaondoka dar saa 12.30 asubuhi ili nifike arusha saa 9.30 nilifika arusha saa 2 usiku.Mabasi yamechoka na wahudumu wana kali mbaya.Hata wiki iliyopita dar express ya kwanza iliangukia kabuku ila wakaficha[/QUOTE]

Na wewe wa ajabu sana. Basi lianguke halafu wafiche - kwani walikuwa wamabeba vifaranga vya kuku? Halafu unasema liliangukia Kabuku - Hapo pana kituo cha polisi na askari wa barabarani kibao wanaovinjari umbali wa kilometa 50 kila upande halafu tukio la basi kuanguka lifichwe??? Kauli hizi zinathibitisha kuwa hoja hii ina ukweli. Naona mmelipwa na Riz1.

Hilo basi lililoanguka kabuku mimi nimeliona nikitokea lushoto lilianguka kilometa kadhaa kabla ya kufika kabuku kama unatokea Segera sehemu yenye kona kali na kwa kweli lilikuwa limeanguka barabarani kabisa na kusababisha usumbufu mkubwa cha ajabu tukio hilo sikuona likiripotiwa katika media yoyote
 
Wakuu mimi naishi mlango wa pili na parking yard ya Dar Express hapa Arusha! Lakini nimesikitishwa sana na hii taarifa eti kua hii kampuni imekosa vigezo vya usafirishaji Tobaaa jamani hata kiziwi ukimuuliza kweli kuna kampuni ambayo imekua ikifanya kazi vizuri kama Dar Express? Kweli time will tell kama kweli kuna ukweli kuhusiana na taarifa hizi kua kuna hujuma ili wengine waweze kupata nafasi hii na kuizoofisha kampuni ya Dar express basi tumuachie Mungu!
 
Kwa maoni yangu binafsi, taarifa hii haiwezi kuwa sahihi. Haya ni majungu yenye lengo la kujenga fitna na chuki dhidi ya hiyo kampuni mpya.

Usafirishaji abiria hapa nchini unahusisha mabasi zaidi ya 1,000. Hivyo hicho kikamouni kipya na vibasi vyake 40 sio tishio mpaka wapike zengwe kwa Dar Express kufungiwa.

Kama kweli lengo la hicho kikampuni kioya ni kuweka kauzibe kwa makampuni mengine, zengwe hili lingepigwa kwa Sumry mwenye mabasi zaidi ya 100 yanayokwenda nchi nzima na nje ya nchi na sio Dar Express mwenye route moja tuu ya Moshi, Arusha!.

Sumatra wakifungia chochote, wanafunga kwa vigezo ambayo viko wazi na sio kwa majungu. Dar Express wanajua ukweli na kama wanajihisi wanaonewa, mamlaka ya rufaa ya Sumatra ni Baraza la Ushindani au waende mahakamani.

Wana jf wenzangu, ili kulinda hadhi ya jf kugeuka kijiwe cha fitna na majungu, habari kama hiza ambazo hazina mantiki ziwekwe kwenye jukwaa la jokes ili isomeke kama jokes.

Yani wewe unafikiri PINDA yupo NYEKUNYEKU? au? unafikiri dogo hajuhi kuwa ni ya nani SUMRY?
 
Umbea, umbea. Ina maana magar ya Dar Arusha ni Dar Express pekee, au wao wana nini cha zaidi. Huo ni uongo mkubwa. Umetumwa kuwafanyia promo Dar Express.

Wewe umejiunga lini na JF? Unaonekana mgeni sana na maisha ya kibongo.
 
Wewe ndiyo siyo mkweli magari 15 ya Dar Express yamefungiwa na Sumatra, KLM Express naona Sawaya ana mkono mrefu na Yotong zake tehe tehe tehe tehe.

ila si kuna ambayo yapo barabarani. Leo nimetoka Moshi kwenda Morogoro, nimeziona Dar Express takribani 4 wakati nikiwa stendi ya Mwanga, muda wa saa mbili asubuhi.
 
uzushi uzushi tuuu kila siku kwa faida gani lakini hamna cha kufanya yaone mabichwa yenu!!

Ungetoa data hata moja tu kujustify uzushi wao.Tazama hii:Mabasi ya Mzee Ruksa & The Family(Hapa namaanisha Hussein) mnamsingizia mwarabu HOOD------Tarehe 20 mwezi wa 7 mwaka 2011.Hood Mbeya-Arusha iliungua mikumi,siku mbili baadae ikadondoka nyingine.Lakini,Kuelekea Pasaka Mabasi ya Mtoto wa Mkulima-Sumri ilidondoka somewhere Mikumi,Songea.Yaani Ningekuwa SUMATRA haya nisingeyafungia bali ningeyafuta kabisa kwenye orodha ya makampuni ya usafirishaji,YOU CAN TELL ME NOTHING TO DAR EXP
 
Huu ni usenge labda atafute madereva wa nje niko tayari kutoa hata uhai wangu kuhakikisha hayo mabasi hayaendi mikoa ya arusha na klm. Leo hii wafanyakazi wa serikali hawajalipwa anazuiya kampuni inayolipa kodi vizuri kutokufanya kazi. hakia Mungu atakufa mfa mtu.
 
Source plz...!! hichi sio kijiwe...

Angalia gazeti habari Leo wameitoa hii habari ya kufungiwa mabasi. All in all kampuni ya Dar express imekluwa ikijitahidi sana kufanya vzuri, kama ni trend ya ajali basi ni za kawaida na haijawahi kuwa massive kama ajali zilizohusisha Hood kuungua, Abood, Sumry. TABOA wanasemaje?hawajatoa tamko?maana hii dhahiri ni unyanyasaji kwa biashara yao unless nao wamegubikwa
 
afu huyu dogo nae kama ni kweli basi ajiandae yatamkuta yale ya gadafi na watoto wake
 
Back
Top Bottom