Chantal Biya: The hottest first lady in Africa

Facilitator

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,280
1,763
Ni mke wa Paul Biya, Rais wa Cameroon.

Biya01.jpg


biya+wife+2.jpg


cameroon_1475724f.jpg


cameroon.JPG


chantal-biya2.jpg


carla-bruni-934.jpg
 
si kweli huyo ndio hottest unless unapima temperature

ni powerpoint tupu...
 
Huyu mama ni mtoto wa Dennis Ssosungweso na siwezi ona ajabu kwa jinsi alivyo MLIMBWENDE kwa kuwa ni MLINGALA(pure bantu)
 
A smile is an inexpensive way to improve your look, bado anadai ingawa amekula chumvi ya kutosha.
 
Graca ni bomba kwelikweli, we huoni "Mzee" anaendelea kunawiri tu?
 
Kwa ghafla ghafla unaweza kudhani simba dume hizo nywele

kwa kweli she iz very cutie,wa ukweli kimsingi ila hzo nywele ahk!piga picha angekuwa na low cut!dah na hiyo face angeita ile mbya!
 
kwa kweli she iz very cutie,wa ukweli kimsingi ila hzo nywele ahk!piga picha angekuwa na low cut!dah na hiyo face angeita ile mbya!

Mie hata hiyo sura sifikii kuiona, naona manywele tu vilobaki vyote vinakuwa blurred :eek2:
 
Back
Top Bottom