Channel ten na sauti ya radio ya magic fm

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,041
1,375
Jamani toka nianze kutumia king'amuzi cha Startmies stations ya channel ten badala ya kusikia sauti ya kipindi husika nasikia matangazo ya radio Magic fm . sasa hata sielewi ni mimi tu au maana nimejaribu kuulizia naoha hata hao startmies hawaelewi hebu nisaidieni kama kuna mtu aliyewahi kukutwa na hili.

au mkono wa mtu maana huyu jirani yangu simwamini amini. ( aahahaaa just kidding)
 
Hata mimi tatizo hilo ninalo na nilijaribu kudelete all the radio channels from the list of automatic search lakini haikusaidia kabisa ingawa mimi situmii startimes natumia dish la kawaida tu! Labda waje wadau walipata solution ya tatizo hili watu juze
 
we kimbweka bonyeza kitufe kilichoandikwa AUDIO kuna ka sub menu ka audio language katatoke kisha bonyeza kitufe cha kupunguza au kuongeza sauti utaona inabadilika LEFT RIGHT STEREO left ni sauti ya Channel ten RIGHT ni sauti ya Magic fm
 
Sure, that is the solution i had this problem i solved in that way.
Do it
 
thnx pal i did it last nite anyway kw remote yangu hakuna kitufe cha track badala yake nilibonyeza kitufe cha audio ...then nikanavigate kwenda kwenda left. kwani kilikuwa right... na nimenotice ukiweka RIGHT ndio kuna sauti ya magic fm, ukiweka stereo zinaingiliana na ukiweka left ndio unapata sauti ya channel ten
 
we kimbweka bonyeza kitufe kilichoandikwa AUDIO kuna ka sub menu ka audio language katatoke kisha bonyeza kitufe cha kupunguza au kuongeza sauti utaona inabadilika LEFT RIGHT STEREO left ni sauti ya Channel ten RIGHT ni sauti ya Magic fm

Ila hii huwa haiondoi kabisa usumbufu huo. Ukizima na kwasha tena you get the same noises. Permanent solution?
 
Ila hii huwa haiondoi kabisa usumbufu huo. Ukizima na kwasha tena you get the same noises. Permanent solution?

not for me. kwangu limekuwa 100% solved....... hata kama nikizima nakuwasha.
 
Back
Top Bottom