Channel Ten: Mchungaji Antony Lusekelo azungumzia Kuchinja!

Status
Not open for further replies.
Kasome Wakorintho wa kwanza sura ya kumi mstari wa 28 "Lakini kama mtu ye yote akikuambia, “Hiki kimetolewa kafara kwa sanamu,” basi usikile kwa ajili ya huyo aliyekuambia na kwa ajili ya dhamiri"

Sasa ni nani anaendesha ibada ya sanamu kati ya Uislaam na Ukiristo ?
 
Ninashukuru kwamba wewe umemsikiliza vizuri katika maongezi hayo. Suala hapa ni Imani katika kumwaga Damu kama wewe hujui basi usikurupuke pia maana hilo ni Agano na kuna sala inayofanyika hapo. Lakini pia kama mimi ninashinja nyumbani kwangu kwa ajili ya watu wangu ninaojua kwamba siyo waislamu shida iko wapi? Ni vyema turudi kwenye chanzo cha mjadala huu badala ya kuurikia juu juu! Tafuta kujua hawa wakristo walichinja katika tukio gani na je liliwahusu waislamu? Ni vyema tuwe na mtazamo mmoja Lusekelo ni binadamu wala yeye siyo maandiko.
 
Hoja ya Lusekelo imejaa woga, na anataka tu kuwapendezesha watu fulani, ila amesahau kuwa hawa watu hawang'ang'anii kuchinja kwasababu ya dini zao tu, bali ni ile haki yao ya msingi iliyoporwa kwa sababu ya uungwana wao. Haiwezekani watu wakafanya uungwana tu kuwaacha watu fulani wachinje alafu baadae wanashinikiza ili kuigeuza kama haki yao ya msingi wakisaidiwa serekali dhaifu. Anasahau kuwa hawa watu hao hao wanajipa mamkala ya dola ili kuipora haki hiyo. Kwa nini serekali isiyo na dini inatangaza dini ya kuchinjia?. Hii nchi yetu sote wenye dini na wasio na dini, kwa hiyo kama anataka kufurahisha watu akawaeleze waumuini wake.
 
Tatizo watu wengi humu wapo kishabiki zaidi, wengine hawajawahi hata kukanyaga kanisani tangu wazaliwe na wengine hawajui hata kibla ilipo, lkn linapokuja swala la kuchinja kila mtu atashabikia! Ili mradi na yeye kaandika kitu, nyama hiyo hiyo ililiwa enzi na enzi na hakuna aliyedhulika leo hii tunagombania eti kuchinja, km hujisikii au hutaki kula nyama iliyochijwa Kiislam nunua ng'ombe wako chinja weka kwenye friji utakula kidogokidogo mpka umalize na wala hutogombana na mtu.
 
Hiyo red inazungumzia sanamu, sasa ni nani anaye endesha ibada ya sanamu kati ya Ukiristo na Uislaam ?

kuchinja kama kweli ni ibada, kwa mkristo inakuwa ni ibada ya sanamu. ni ibada zilizokomeshwa na ujio wa YESU.
 
Ukiniona MZIMU nimemkubali Mtu, jua huyo mtu anastahili. Jamani kwa watu wenye akili, hakuna suluhu nyengine itakayo linda Amani ya Nchii hii zaidi ya hiyo alioitoa Mchungaji Antony Lusekelo. Kwani hayo hayo ndio anayo yaongelea Mzee Pinda na Mzee Steven Wasira.

Kama kuna mkristo yoyote anapingana na huyu mchungaji, hakika huyo ndio asie itakia Mema Nchi hii.

Mkuu hilo ni jambo dogo sana, tatizo kubwa ni kuwa kuna upande unalalamika kuonewa kwenye kila anga muhimu kama ajira, elimu, MOu, na mfumo pia upande mwingine ukilalamika kuchafuliwa,kukashifiwa na baadhi ya watu na haya ndio yanazaaa mambo kama hayo ya kuchinja hayo tukiweza kuyatatua ndio tutasema amani haiwezi ingia dosari
 
Namsikiliza Mchungaji Antony Lusekelo Chanel Ten sasa hivi. Nimemkubali huyu kweli ni kiongozi sahihi katika Imani ya Kikristo. Tukiwa na Viongozi wa kama hawa Amani yetu ya inchi haiwezi kutetereka.

Heshima kwako Mchungaji. Natamani Wachungaji, Mapdre na Maaskofu pamoja na Makidanali wote Muwe na upeo mkubwa wa kufikiria kama huyu Mchungaji. Huyu ni Tunu ya nchi.

Kwa ufupi tu, Mchungaji Antony Lusekelo Ameshangaa kulikoni leo Mashekhe na Maaskofu au Mapadre au Wachungaji wagombane wakati waliishi kwa amani tangu zamani. Kama ni suala la kuchinja, mbona suala hilo tangu enzi ya wazee wetu, walikua wanachinja waislamu wanakula wote. "Kama tukichinja sisi waislamu hawali, basi wachinje waislamu tule wote. Kuchinja isiwe ndio sababu ya kuvunja amani ya nchi yetu".

Ameeleza kwa kirefu suala hilo. Hiyo ndio ilikua mada ya kipindi.

Huyu nimekua nikifuatilia mahubiri yake, huyu kweli anawakilisha imani sahihi ya kikristo. Mimi sio Mkristo mimi ni Muislamu, ila hua tuna wapenda viongozi kama hawa katika jamii. Sio vizuri sisi watanzania kutengana kimisingi ya dini. Ni vibaya na hatari sana. Familia nyingi ni mchanganyiko.
Huna jipya pumba tuu ww na yeye.Kama waislamu hawakubali kula vilivyo andaliwa na wakristo kwanini kujipendekekwao? Kila mmoja achinje na ale kivyake , kama mnataka hivyo tusiishie katika swala la kuchinja tuu hata katika mengine tuwekeane mipaka.
 
Namsikiliza Mchungaji Antony Lusekelo Chanel Ten sasa hivi. Nimemkubali huyu kweli ni kiongozi sahihi katika Imani ya Kikristo. Tukiwa na Viongozi wa kama hawa Amani yetu ya inchi haiwezi kutetereka. Heshima kwako Mchungaji. Natamani Wachungaji, Mapdre na Maaskofu pamoja na Makidanali wote Muwe na upeo mkubwa wa kufikiria kama huyu Mchungaji. Huyu ni Tunu ya nchi. Kwa ufupi tu, Mchungaji Antony Lusekelo Ameshangaa kulikoni leo Mashekhe na Maaskofu au Mapadre au Wachungaji wagombane wakati waliishi kwa amani tangu zamani. Kama ni suala la kuchinja, mbona suala hilo tangu enzi ya wazee wetu, walikua wanachinja waislamu wanakula wote. "Kama tukichinja sisi waislamu hawali, basi wachinje waislamu tule wote. Kuchinja isiwe ndio sababu ya kuvunja amani ya nchi yetu". Ameeleza kwa kirefu suala hilo. Hiyo ndio ilikua mada ya kipindi. Huyu nimekua nikifuatilia mahubiri yake, huyu kweli anawakilisha imani sahihi ya kikristo. Mimi sio Mkristo mimi ni Muislamu, ila hua tuna wapenda viongozi kama hawa katika jamii. Sio vizuri sisi watanzania kutengana kimisingi ya dini. Ni vibaya na hatari sana. Familia nyingi ni mchanganyiko.
MZIMU jina lako linatosha kuamini kabisa alichozungumza Lusekelo. Unapata uhai kwa tukio hilo. bila kupata damu ya mnyama, hakuna uhai wako. Lusekelo hafundishi iman sahihi ya KRISTO, ana imani yake mwenyewe anajua anaowatumikia.
 
Namsikiliza Mchungaji Antony Lusekelo Chanel Ten sasa hivi. Nimemkubali huyu kweli ni kiongozi sahihi katika Imani ya Kikristo. Tukiwa na Viongozi wa kama hawa Amani yetu ya inchi haiwezi kutetereka.

Heshima kwako Mchungaji. Natamani Wachungaji, Mapdre na Maaskofu pamoja na Makidanali wote Muwe na upeo mkubwa wa kufikiria kama huyu Mchungaji. Huyu ni Tunu ya nchi.

Kwa ufupi tu, Mchungaji Antony Lusekelo Ameshangaa kulikoni leo Mashekhe na Maaskofu au Mapadre au Wachungaji wagombane wakati waliishi kwa amani tangu zamani. Kama ni suala la kuchinja, mbona suala hilo tangu enzi ya wazee wetu, walikua wanachinja waislamu wanakula wote. "Kama tukichinja sisi waislamu hawali, basi wachinje waislamu tule wote. Kuchinja isiwe ndio sababu ya kuvunja amani ya nchi yetu".

Ameeleza kwa kirefu suala hilo. Hiyo ndio ilikua mada ya kipindi.

Huyu nimekua nikifuatilia mahubiri yake, huyu kweli anawakilisha imani sahihi ya kikristo. Mimi sio Mkristo mimi ni Muislamu, ila hua tuna wapenda viongozi kama hawa katika jamii. Sio vizuri sisi watanzania kutengana kimisingi ya dini. Ni vibaya na hatari sana. Familia nyingi ni mchanganyiko.
Jina mzima?! Ulicho andika na jina lako vinaendana sikushangai.
 
kwani lazima kula nyama?je hawa kuku wanaotoka brazil unajua nani kachinja?zile nyama tunazonunua pale mlimani city anajua nani kachinja?tafakari
 
Jamaa mjanja sana, anasema hivyo kwa kuwa kuna waisilamu wengi sana wanaohudhuria kanisani kwake kupewa upako, hasa wakina mama, so ni aina fulani ya kuvutia wateja!
Usiwe na kichwa kigumu kama nazi!
Acha udini!
 
Namsikiliza Mchungaji Antony Lusekelo Chanel Ten sasa hivi. Nimemkubali huyu kweli ni kiongozi sahihi katika Imani ya Kikristo. Tukiwa na Viongozi wa kama hawa Amani yetu ya inchi haiwezi kutetereka.

Heshima kwako Mchungaji. Natamani Wachungaji, Mapdre na Maaskofu pamoja na Makidanali wote Muwe na upeo mkubwa wa kufikiria kama huyu Mchungaji. Huyu ni Tunu ya nchi.

Kwa ufupi tu, Mchungaji Antony Lusekelo Ameshangaa kulikoni leo Mashekhe na Maaskofu au Mapadre au Wachungaji wagombane wakati waliishi kwa amani tangu zamani. Kama ni suala la kuchinja, mbona suala hilo tangu enzi ya wazee wetu, walikua wanachinja waislamu wanakula wote. "Kama tukichinja sisi waislamu hawali, basi wachinje waislamu tule wote. Kuchinja isiwe ndio sababu ya kuvunja amani ya nchi yetu".

Ameeleza kwa kirefu suala hilo. Hiyo ndio ilikua mada ya kipindi.

Huyu nimekua nikifuatilia mahubiri yake, huyu kweli anawakilisha imani sahihi ya kikristo. Mimi sio Mkristo mimi ni Muislamu, ila hua tuna wapenda viongozi kama hawa katika jamii. Sio vizuri sisi watanzania kutengana kimisingi ya dini. Ni vibaya na hatari sana. Familia nyingi ni mchanganyiko.
unapenda viongozi wanaoegemea upande mmoja?, ngoja nikwambie, zamani wakristo walikuwa hawana ufahamu kuwa kwa waislam, kuchinja ni sehemu ya ibada....sasa baada ya kufahamu hilo, inakuwa ngumu mkristo kula kitu ambacho kimechinjwa kwa ibada ya kiislam, yani ni sawa na kumshirikisha katika ibada yenu, na sote tunajua kuwa ibada za kiislam ni za kishetani, na wakristo na mashetani na majini hawaelewani, asa kwa nini mtushirikishe?? umeelewa ndugu??
 
huwa namuona hana maana lakini leo nilipo mkuta anazungumzia swala hilo nikasema ngoja nimsikilize hakika amesema vema naamini wakristo hatuta ngangania kuchinja tena lakini serikali ifute kauli kuwa waislam ndiyo wenye haki ya kuchinja...

Nope. Angalia trend ya matukio yake ndo utamfahamu vema. Aina ya mahubiri, watu wanaochangamana naye, msimamo wake dhidi ya watawala. Huyu nakumbuka aliwahi sema Yesu alisali msikitini, hivyo alikuwa mwislamu. Pia alisema marehemu shehe Yahya alikuwa mshauri wake! To me he is more of an imposter.
 
Mchungaji Antony Lusekelo ( Mzee Wa Upako) amesema kuwa Maaskofu na Wachungaji Mwanza na Mbeya wanaotaka wapewe haki ya Kuchinja ni Wapumbavu.Amewataka Wakristo wote waelewe kuwa kazi ya kuchinja wanyama ni ya Waislamu. Hivyo amewataka Waislamu Waendelee Kuchinja ili kuepusha Vurugu!!!Mchungaji Lusekelo ametoa namba yake ya simu 0713 725473 kwa yoyote mwenye kutaka maombi na upako!!!
Kampeni hizi zimepangwa kurushwa katika kipindi Channel ten siku ya jumamos ijayo:
Tujiweke tayari Kusikiliza na kujibu hoja:

Kwa ujumula wake Mzee wa upako ameungana na Askofu Gamanywa wa Wapo Mission ambaye naye anataka suala hilo limalizwe kwa kuwachia waislamu.

Kumbukumbu za Uhamiaji zinaonyesha kuwa Askofu Gamanywa si Raia wa TZ ila mke wake ni raia. Miaka ya Nyuma alifuatiliwa sana na uhamiaji mpaka aliposhauriwa na Watu fulani kujiunga na CCM.

Kwa upande wa Mzee wa Upako yeye ni raia tena kutoka Mbeya , aliyemleta hapa DSM ni Askofu Mwasota na alimtoa huko wakati anavuta bangi. Aliingia Dar na kufanya kazi chini ya Akofu Mwasota lakini ghafla alipindua huduma hiyo na kujiita Mzee wa upako huku akiwa hatambui uongozi wa PCT hadi sasa.

Katiak hali ya Kushangaza Mzee wa Upako hajui kuandika lakini anajua kusoma. Alianza kujipenyeza kwa wazungu na alisafili hadi Uk. Alipofika huko alifanikiwa kuingiza mataili 250 kwa wizi wa msamaha wa kodi .
Taarifa za TRA zinaonysha kuwa alikamatwa Bandarini wakati wa kipindi cha kwanza cha urais wa Kikwete na suala hilo lilimalizwa kwa kukubaliana kuwa Mzee wa Upako atakuwa anamuunga Kikwete hadi kifo kimikute.

Katika kipindi cha kujivua gamba Mzee wa Upako aliasi kambi ya Kikwete na kuanza kumuunga Lowassa na alipopata Kipigo amerudi tena huko huko CCM.
My Take:
Viongozi wa dini wananunuliwa na CCM Kupotosha Umma:

hakuna sababu ya kumu attack Lusekelo kwa kuwa kaongea ukweli....zungumzia hoja aliyoitoa jana channel ten
yuko juu Lusekelo nimemtumia na msg jana kumpa big up
 
Huyu upako akajipange, bado hajasema. Biashara asiingize katika IMANI. Tunajua anafanya buziness.
 
mimi napenda sana biblia, kila swali linajibiwa humo
1-Mkaribisheni kwenu mtu aliye dhaifu, lakini msibishane naye juu ya mawazo yake binafsi.-
2-Watu huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.-
3-Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu mboga za majani asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu amemkubali.-
4-Wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? Akisimama au akianguka ni shauri la Bwana wake; naam, atasimama imara, maana Bwana anaweza kumsimamisha.
5-Mtu anaweza kufikiria siku fulani kuwa ya maana zaidi kuliko nyingine; mtu mwingine aweza kuzifikiria siku zote kuwa sawa. Kila mmoja na afuate msimamo wa akili yake.-

6-Anayeadhimisha siku fulani anaadhimisha siku hiyo kwa ajili ya kumtukuza Mungu; naye anayekula chakula fulani anafanya hivyo kwa kumtukuza Bwana maana anamshukuru Mungu. Kadhalika naye anayeacha kula chakula fulani anafanya hivyo kwa ajili ya kumtukuza Bwana, naye pia anamshukuru Mungu.-

7-Maana hakuna mtu yeyote miongoni mwetu aishiye kwa ajili yake mwenyewe, wala hakuna anayekufa kwa ajili yake mwenyewe-

8-maana tukiishi twaishi kwa ajili ya Bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya Bwana. Basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake Bwana.-

9-Maana Kristo alikufa, akafufuka ili wapate kuwa Bwana wa wazima na wafu.

10-Kwa nini, basi wewe wamhukumu ndugu yako? Nawe,

kwa nini wamdharau ndugu yako? Sisi sote tutasimama mbele

ya kiti cha hukumu cha Mungu.

11-Maana Maandiko yanasema: "Kama niishivyo, asema Bwana kila mtu atanipigia magoti,

na kila mmoja atakiri kwamba

mimi ni Mungu."

12-Kwa hiyo, kila mmoja

wetu atatoa

hoja yake mbele

ya Mungu.

13-Basi, tuache kuhukumiana, bali tuazimie kutokuwa kamwe kikwazo

kwa ndugu yetu au kumsababisha aanguke katika dhambi.-

14-Katika kuungana

na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi

kwa asili yake; lakini, mtu akidhani kwamba kitu fulani

ni najisi, basi, kwake huwa najisi.-

15-Kama ukimhuzunisha ndugu yako

kwa sababu

ya chakula unachokula, basi mwenendo wako hauongozwi

na mapendo. Usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu

ya kupotea

kwa mtu mwingine ambaye Kristo alikufa

kwa ajili yake!-

16-Basi, msikubalie kitu mnachokiona

kuwa kwenu

ni kitu chema kidharauliwe.-

17-Maana Utawala

wa Mungu si shauri la kula

na kunywa, bali unahusika

na kuwa na uadilifu, amani

na furaha iletwayo

na Roho Mtakatifu.-

18-Anayemtumikia Kristo namna

hiyo humpendeza Mungu,

na kukubaliwa

na watu.-

19-Kwa

hiyo tuyazingatie daima mambo yenye kuleta amani,

na yanayotusaidia kujengana.-

20-Basi, usiiharibu kazi

ya Mungu

kwa sababu

ya ubishi juu

ya chakula. Vyakula vyote

ni halali,

lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya mtu aanguke katika dhambi.-

21-Afadhali kuacha kula nyama, kunywa divai, au kufanya chochote ambacho chaweza kumsababisha ndugu yako aanguke.-

22-Basi, shikilia unachoamini kati yako

na Mungu wako. Heri mtu yule ambaye, katika kujiamulia la kufanya, haipingi dhamiri yake.-

23-Lakini mtu anayeona shaka juu

ya chakula anachokula, anahukumiwa

kama akila,

kwa sababu msimamo

wa kitendo chake haumo katika imani. Na, chochote kisicho

na msingi wake katika imani

ni dhambi.

?
 
Namsikiliza Mchungaji Antony Lusekelo Chanel Ten sasa hivi. Nimemkubali huyu kweli ni kiongozi sahihi katika Imani ya Kikristo. Tukiwa na Viongozi wa kama hawa Amani yetu ya inchi haiwezi kutetereka.

Heshima kwako Mchungaji. Natamani Wachungaji, Mapdre na Maaskofu pamoja na Makidanali wote Muwe na upeo mkubwa wa kufikiria kama huyu Mchungaji. Huyu ni Tunu ya nchi.

Kwa ufupi tu, Mchungaji Antony Lusekelo Ameshangaa kulikoni leo Mashekhe na Maaskofu au Mapadre au Wachungaji wagombane wakati waliishi kwa amani tangu zamani. Kama ni suala la kuchinja, mbona suala hilo tangu enzi ya wazee wetu, walikua wanachinja waislamu wanakula wote. "Kama tukichinja sisi waislamu hawali, basi wachinje waislamu tule wote. Kuchinja isiwe ndio sababu ya kuvunja amani ya nchi yetu".

Ameeleza kwa kirefu suala hilo. Hiyo ndio ilikua mada ya kipindi.

Huyu nimekua nikifuatilia mahubiri yake, huyu kweli anawakilisha imani sahihi ya kikristo. Mimi sio Mkristo mimi ni Muislamu, ila hua tuna wapenda viongozi kama hawa katika jamii. Sio vizuri sisi watanzania kutengana kimisingi ya dini. Ni vibaya na hatari sana. Familia nyingi ni mchanganyiko.

Mimi nilimkubali tangu kitambo hasa aliposema kuwa nchi yetu ni zaidi ya uislamu na ukristo.
 
huyu si mfuasi wa Yesu ni mfanyabiashara wa injili, mkristo wa kweli hawezi kula nyama iliyotolewa sadaka kwa shetani, shwari la kujiuliza ni nani shetani kati ya Yesu na allah ?

Bado maji ya Ubatizo yanapapasa akili zako. Ungekuwa na akili hata punje ya mchele tu usingeweza kumtukamana MUNGU kwa kujibu hoja ya mtu mwingine

GREAT THINKER yeyooote swala la kusoma na kuielewa dini yake ama na hata ya mwenzake ni swala la msingi sanaaa...
 
Jana nimefuatilia kipindi chake mwanzo hadi mwisho, kanifurahisha sana sana kwa namna alivotoa hoja za msingi juu ya kuchinja, huku akinukuu vipengele vya bible (warum 14;31) nk, na pia akanukuu moja ya hadith ktk uislamu, aliwananga bila hata kificho wale wote wanaotafuta namna ya kutofautisha watu kwa imani zao huku akitoa mfano wa somalia nk..
hii sio mara ya kwanza lusekelo kukemea wale wanao endekeza kuharibu amani tuliyo nayo,nakumbuka siku moja alialikwa kama sio ITV ilikuwa TBC, very good brother.....
kasoro moja tu aliyonayo ni kujisifu kuliko pitiliza, by the way viongozi wa dini zote wanapaswa kupima maneno yao kabla hawajawaletea waumini wao, kwa mfano kuna jamaa anajita shehe Ilunga, huyu anapaswa akaungane na sheh ponda kulupango,
wabillah taufiq
 
Namsikiliza Mchungaji Antony Lusekelo Chanel Ten sasa hivi. Nimemkubali huyu kweli ni kiongozi sahihi katika Imani ya Kikristo. Tukiwa na Viongozi wa kama hawa Amani yetu ya inchi haiwezi kutetereka.

Heshima kwako Mchungaji. Natamani Wachungaji, Mapdre na Maaskofu pamoja na Makidanali wote Muwe na upeo mkubwa wa kufikiria kama huyu Mchungaji. Huyu ni Tunu ya nchi.

Kwa ufupi tu, Mchungaji Antony Lusekelo Ameshangaa kulikoni leo Mashekhe na Maaskofu au Mapadre au Wachungaji wagombane wakati waliishi kwa amani tangu zamani. Kama ni suala la kuchinja, mbona suala hilo tangu enzi ya wazee wetu, walikua wanachinja waislamu wanakula wote. "Kama tukichinja sisi waislamu hawali, basi wachinje waislamu tule wote. Kuchinja isiwe ndio sababu ya kuvunja amani ya nchi yetu".

Ameeleza kwa kirefu suala hilo. Hiyo ndio ilikua mada ya kipindi.

Huyu nimekua nikifuatilia mahubiri yake, huyu kweli anawakilisha imani sahihi ya kikristo. Mimi sio Mkristo mimi ni Muislamu, ila hua tuna wapenda viongozi kama hawa katika jamii. Sio vizuri sisi watanzania kutengana kimisingi ya dini. Ni vibaya na hatari sana. Familia nyingi ni mchanganyiko.

Unasema wewe sio Mkristo alafu unadai anawakilisha imani sahihi ya ukristo, ni kwa sababu anapinga swala la nani achinje au vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom