Channel ten! Live historia ya yule Mnajimu feki aliyetangulia mbele ya haki.

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Mtu anashindana na mambo ya Mungu,MUNGU mwenye uwezo wa kusimamisha anga bila nguzo halafu wa2 eti wanaweka kama kipnd maalum. Ina maana wamekosa vipindi ya kuelimisha jamii? Wazo langu tu!
 
Mtu anashindana na mambo ya Mungu,MUNGU mwenye uwezo wa kusimamisha anga bila nguzo halafu wa2 eti wanaweka kama kipnd maalum. Ina maana wamekosa vipindi ya kuelimisha jamii? Wazo langu tu!

Wamwache babu wa watu apumzike.
 
Eti kuna thread moja ile majuzi jamaa mmoja kasema eti amezungukwa na malaika hapo ahera. Nimemshangaa sana.
 
Eti kuna thread moja ile majuzi jamaa mmoja kasema eti amezungukwa na malaika hapo ahera. Nimemshangaa sana.

Hakuna anayejua alipo,kwa hiyo msihukumu msije hukumiwa. Hukumu na kisasi ni cha Mungu.
"Mungu amweke mahala anapositahili"
 
Tatizo la wewe Liverpoolfc unadhani anga ipo kama paa la nyumba linalohitaji Nguzo.
 
Back
Top Bottom