Changudoa!!

chokambayaa

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
543
69
Hivi ni kwanini wanaume kibao wanapenda machanguodoa kuna nini huko jamani
na UKIMWI huu!!!!
 
roho mbaya ya uzinzi inasumbua binadamu na namna tu pekee ya kushinda hayo ni kumrudia muumba wetu!!!!!!!
 
Mbona mimi kwa maoni yangu kule hakuna utamu?
ukiwa na demu wako unajiachia mpaka raha kwa changu
unafanya mapenzi ya wasiwasi kila mtu anamuogopa mwenzie

Changu anaogopa kuzulumiwa man anaaogopa kuibiwa
sasa kuna raha gani apo?
mapenzi kimtego mtego!!!!!
 
Hivi ni kwanini wanaume kibao wanapenda machanguodoa kuna nini huko jamani
na UKIMWI huu!!!!

It is an addiction.......it is an affliction.................Please pray and fast on their behalf..........................all of the victims including the gals..................they are trapped too.....................Usiutaje sana ukimwi kwa sababu watajitetea ya kuwa wanafanya ngono makini...................it is more than HIV and AIDS..........................is not your body more than infidelity?
 
Changu doa wanavaa vizuri, wanajilemba na kujipamba, na wanamiondoko, mikogo, heheh. Na wanajua jinsi ya kumvuta na kumnasa mwanamme, ktk mitego yao. Mwanamme hasie wajulia walivyo atajikuta kanasa, hahaha
 
Service bakubwa, utafanyiwa kila kitu, utalambwa waaahh aaaaaaaaahhhhhh kama ni mwiraq utaanza kunena kiiraq, kama ni mchaga utaimaba kichaga, kama ni mkwere uta.......... soo huduma 100% hawajivuti, ni TOA NI TOE
 
jipanguse rrrrrrrrrrrrrraaaaaaaaaaaa raaaaaaaaaaaa sex ni mchezo mchafu, habari ya demu wangu/wako kuheshimiana kihivyo nani anataka. Hapo kaziiiiiiii tuuuuuuuuu
 
hivi changudoa ni yupi? inaishia kwa wale wanaosimama barabarani kungoja wateja, ama inahusisha hata wale wanaouza kwa kujifanya wamekupenda? wanaojifanya hawagawi, ila wanatolea macho mshahara wako.
 
Mbona mimi kwa maoni yangu kule hakuna utamu?
ukiwa na demu wako unajiachia mpaka raha kwa changu
unafanya mapenzi ya wasiwasi kila mtu anamuogopa mwenzie

Changu anaogopa kuzulumiwa man anaaogopa kuibiwa
sasa kuna raha gani apo?
mapenzi kimtego mtego!!!!!

kwa changu bei ni maelewano, kwa demu wako hakuna maelewano ya bei. Kwa maneno mengine kwa changu gharama ni ndogo kuliko kwa demu wako. changu mkimaliza mmemalizana, kwa demu wako ni 24/7 relationship. machangu unaweza badili kila siku type unayotaka, unachagua mwenyewe tu leo ukitaka mfupi, mnene, mrefu aliyejichubua nk.
 
Back
Top Bottom