Changudoa wanaoleka jamani???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Embu tumsaidie jaamaa yetu jamani
Kuna kijana wangu amependena na binti mmoja pale afrikasana..sasa wana muda gani sijui na sitki kujua
sasa amekuwa akiongelea sana maswala ya ndoa jana tukiwa tunafurahi pale breakpoint akasema wazi ana binti anampenda sana yeye ni cd lakini alipoamtmkia yule binti ameacha kwenda pale afriksana na amefikira kuachana na kumpenda jamaa ....ktk mazungumzo binti amesema kabla ya kuoana anaomba wakapime hili ni tatizo lingine kwa mwenzangu anampenda sana lakni anajiuliza huyu binti anamtakia nini akampime..na jana akiwa na simu akatwanga live na kusisitiza wazo lake na binti akusita kutaja masharti yake moja wapo ni hilo la kupima na jamaa amesema ni msichana wa pili kama akisisitiza anakwenda kuachana nae..usiniulize zaidi juu yake.....,Binafsi nilimuuliza unaweza kumtunza cd aliezoea maisha yenye akili kwa kweli nina mfano wa mzungu mmoja rafiki yangu ana mke kaoa kabisa azania na tuliingia asbh mchana arusi kweishna ..wanaishi swafi lakini anachotoa mzungu sijui na yule binti kwa masikitiko aliishia form six na kupata div2..mwenye kutaka ushahdi ruksa tuwasiliane..kale kabinti kalikuwa LAS VEGAS
aliamua kuacha kabisa

Swali je huyu mtanzania mwenzangu atamweza kweli jamaa kama mzungu alivyokula jumla...Je kama mtanzania na exp yako tumpe go ahead ya ndoa??
J5njema
 
I see kazi anayo
 
unaposema 'changudoa' unamaanisha wale wanaoouza live, au hata hawa wanaojifanya 'decent' huku wanagawa bure?
 
sijakuelewa, sasa changudoa hapo ni nani? ni huyo mzungu au changudoa ni ndugu yako, changu doa ndo anapenda kupima ngoma kwanza kabla ya ndoa au mzungu?...na tatizo liko wapi hapo?
 
hute soma vizuri,,mzungu ni metoa mfano alishaoa na yuko na ndoa yake..
anaetaka kuoa ni jamaa yangu soon takuwa nae tena hapo kati..na pia mwanamke yaani mamaa nae anataka kupima na jamaa kupima ni sawa na kumtupia DENI LA DOWANS wakati mhusika anajulikana
tumsaidiaje...leo nimepanga kwanza nikatoe somo jinsi ya kukubali kwake kupima nikisubiri swala hilo hapo juu natumaini nae atapata mawazo mengine mazuri ....ila kazi ipo.
 
Kati ya changudoa na mchawi, ni yupi unamuogopa zaidi?
Nimeoa mchawi na maisha yetu ni ya raha mustarehe

ujatueeleza labda na wewee walewale so mnakuwa mnapasua naga zawatu usiku swafiiiii raha mstarehe kumi mko nyumban ..karibu jiran
 
Nikwambie kitu; shida uionayo wewe ni huo uwazi wa huyo CD; yaani ile yeye kuwapo hapo barabarani akijiuza live; lkn huko mtaani kwa watu amabao akili inakutuma ni wastaarabu ni wachafu kuliko huyo cd na mbaya zaidi huwezi kamwe kujua tabia hizi chafu kwa kuwa wamejifunika na huo ustaarabu.......hawajiuzi, Huoni CD anavyojali yupo tayari kupima naweza kukuletea wanawake 100 hapa hawako tayari hata maramoja kupima kwa hiari vivyo hivyo wanaume, kama huyo jamaa yako. Waweza kuta nia afadhali ya CD mara mia!
 
Jamani tusiwahukumu watu kutokana na kuzalilishwa na ugumu wa maisha. Hao mnaowaita changudoa sidhani kama wamekuwa hiyo kitabia bali ugumu wa maisha ndio umewafikisha hapo walipo. Hawana tofauti na wabeba zege, hakuna anayependa kufanya kazi ya zege ilivyo ngumu lakini ili maisha yasonge mbele hana njia mbadala. Nachotaka kusema, wanaoitwa changudoa ni watanzania wenzetu na wana utu kama kila mmoja wetu alivyo; akipata mtu wa kumweka kwenye njia mbadala ya maisha atatoka huko aliko.

Kwani wateja wao ni kina nani?
 
mzee changudoaa ana olekaa..tena akiamua kutuliaa huwezi amini,kwani wengine wanafanyaa kwa sida tu.
 
Embu tumsaidie jaamaa yetu jamani
Kuna kijana wangu amependena na binti mmoja pale afrikasana..sasa wana muda gani sijui na sitki kujua
sasa amekuwa akiongelea sana maswala ya ndoa jana tukiwa tunafurahi pale breakpoint akasema wazi ana binti anampenda sana yeye ni cd lakini alipoamtmkia yule binti ameacha kwenda pale afriksana na amefikira kuachana na kumpenda jamaa ....ktk mazungumzo binti amesema kabla ya kuoana anaomba wakapime hili ni tatizo lingine kwa mwenzangu anampenda sana lakni anajiuliza huyu binti anamtakia nini akampime..na jana akiwa na simu akatwanga live na kusisitiza wazo lake na binti akusita kutaja masharti yake moja wapo ni hilo la kupima na jamaa amesema ni msichana wa pili kama akisisitiza anakwenda kuachana nae..usiniulize zaidi juu yake.....,Binafsi nilimuuliza unaweza kumtunza cd aliezoea maisha yenye akili kwa kweli nina mfano wa mzungu mmoja rafiki yangu ana mke kaoa kabisa azania na tuliingia asbh mchana arusi kweishna ..wanaishi swafi lakini anachotoa mzungu sijui na yule binti kwa masikitiko aliishia form six na kupata div2..mwenye kutaka ushahdi ruksa tuwasiliane..kale kabinti kalikuwa LAS VEGAS
aliamua kuacha kabisa

Swali je huyu mtanzania mwenzangu atamweza kweli jamaa kama mzungu alivyokula jumla...Je kama mtanzania na exp yako tumpe go ahead ya ndoa??
J5njema

Ulivyoandika inakuwa ngumu kweli kuelewa...nafikiri ungekuwa umetumia nukta na koma za kutosha ingesaidia!

Otherwize, nafikiri yeye anatakiwa kumfahamu huyo binti vizuri zaidi kabla ya kufanya maamuzi! Hapa watakuambia mengi like CD sio mzuri. Inawezekana binti kabadilika kweli! So uamuzi uko kwake.
 
People do Change! Wapo walioolewa Bikra lakini wakaja kuwa malaya kupindukia.wapo malaya walioamua kuolewa wakatulia na kuwa wake wazuri.
Wapo pia ambao awaachi asiri yao wanafanya umalaya japo ni wake za watu.
Apa ukweli nikuwa ni hulka ya mtu tu
Umalaya auna kabila wala dini.
Don't make a hoe a house wife
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom