REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 947
HK,
Naomba niyaamini mawazo yangu kuwa kuomba ushauri hapa JF unatutania,kwa sababu
ukweli ni kuwa yapo mambo muhimu ambayo unajua ni kero kwa watanzania, lakini
siamini kama una dhamira ya dhati kweli ya kuyasema,kwani nidhamu ya woga mliyonayo
wabunge wa CCM ni tatizo,mimi labda ushauri angeomba Mpina ningempa.kati ya wabunge
ambao watanzania at least walianza kuwa na matumaini nao wewe ni mmoja wao lakini tatizo
mmetanguliza maslahi yenu na ya Chama na kutusahau watanzania.so endeleeni na njia mliyoichagua
japo nina uhakika huko mbele itawagharimu.