jackalikumtima
Member
- Apr 13, 2011
- 8
- 0
Sasa tunajadili ni namna gani au ni wakati gani Mrembo anaweza kuvuliwa taji la Miss Tanzania. kuna warembo ambao wameisha fanya matendo ambayo hayapendezi na bado hawakuchukuliwa hatua yoyote ikiwa ni pamoja na kuvuliwa taji. je ni kanuni zipi tuziweke ili kubana au kuhimiza nidhamu kwa warembo?