Changia chochote kuokoa maisha ya doctor ulimboka

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Dear all,

Thank you very much for your candid support in this.
I would like to bring to your attention that we had a meeting this afternoon between myself and a team of specialist to discuss modalities of collecting contributions.

In order to efficiently coordinate contributions it was agreed to use m-pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela and and tigo pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.

For those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic Bank Tanzania Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX

The reason I'm sending this is because I have been asked several times to clarify on this and after consuling with MAT president, he advised me to provide this clarification.
 
asante kwa taarifa...umesomeka... tupo pamoja....ila ulinzi zaidi unatakiwa kwa dr uli
 
We still need solid evidence and connection between the MPESA number and account in connection with the Dr, we like to help, but we need to trust this is valid, please help to help Dr. Ulimboka.
 
hello, wengine tuko ugaibuni, we would like to contribute something, ila tunahitaji tu namba ya simu ya kaka yake Dr. Ulimboka "Dr. Hobokela Stephen", kwa ajili ya kumpa taarifa muhimu ili aweze kuchukua hela. Hope njia nzuri ni Western Money Union Transfer. Mwenye namba yake please!!!!!!
 
makubwaaa!!

mamilioni ya watanzania wamesahaulika, na kila siku wanaendelea kufa ma-hospitalini kwa migomo yenu madaktari, na watu woote now wanamuongelea huyo mtu mmoja ulimboka na sasa eti achangiwe, mu-mewasahau watanzania mamilioni wenzetu...!! poor them!!

kweli watanzania ni watu wa ajabu saana..!!
 
Tunamchangia victim wa mfumo dhaifu, srikali ina uwezo na jukumu kwa wagojwa wengine
 
Utapeli mwingine huu!! yeye kachangia nini katika kuokoa maisha ya ndugu yangu ambae kapoteza maisha eti wapo kwenye mgomo - kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe mbele ya Mungu.
 
Ni mchango wa hiari. Wewe kama huhitaji kuchangia nyamaza kimya. Hatuko hapa kujadili yeye amechangia nini kwa wengine. Usihukumu kwani wewe nawe utahukumiwa.
 
hello, wengine tuko ugaibuni, we would like to contribute something, ila tunahitaji tu namba ya simu ya kaka yake Dr. Ulimboka "Dr. Hobokela Stephen", kwa ajili ya kumpa taarifa muhimu ili aweze kuchukua hela. Hope njia nzuri ni Western Money Union Transfer. Mwenye namba yake please!!!!!!

Cha msingi hapo mkuu wanatakiwa kuweka Branch coz SwiftCode ipo you can do a transfer which I know is cheaper than the western Union format.
 
Dear all,

Thank you very much for your candid support in this.
I would like to bring to your attention that we had a meeting this afternoon between myself and a team of specialist to discuss modalities of collecting contributions.

In order to efficiently coordinate contributions it was agreed to use m-pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela and and tigo pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.

For those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic Bank Tanzania Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX

The reason I'm sending this is because I have been asked several times to clarify on this and after consuling with MAT president, he advised me to provide this clarification.

...let him die,yeye ameshindwa kutoa mchango wa huduma kwa wagonjwa mpaka wanakufa, wewe unatuwekea ujinga,wale waliompa kipondo wangeomba mchango wa kummalizia inshallah tungewachangia fasta..doctor hawazi fanya kazi bila nesi au driver wa kumpeleka job mbona hawawatetei wanajipendelea wao..let him die
 
Bahati mbaya sana maka hilo ni wazo lako mwenyewe. Mgomo unakutisha, ila ufisadi unaukumbatia. Namnukuu mwalimu nyerere," kila kukicha wendawazimu wanazaliwa" wengine tutachanga
 
Natoa pole sana, lakini niiombe serikali iwajibike moja kwa moja kumtibu huyu ndugu yetu. Mbona wanasiasa serikali inajitoa kimasomaso kuwapeleka ughaibuni kutibiwa, iweje huyu Dr. kunakuwa na uzito. Hii inanipa wasiwasi kabisa, huenda serikali yenyewe imesababisha janga hili kwa nini mnakuwa hivyo? Hivi Mungu atakapotokea mbele ya macho yetu tutasemaje siku hiyo? Hebu tutambue pia uwepo wa Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii nchi inahitaji ukombozi wa elimu. Kama unajiita msomi halafu hujui hata scheme of service in hatari. Kabla ya kuropoka na kupost jichunguze because you are what you write! Kwa sababu ilivyo mshahara wa all health personnel unkuwa-callibrated kutoka mshahara wa dk sasa ubinafsi hapo uko wapi?
 
Back
Top Bottom