Changia CHADEMA; M4C

Changia CHADEMA kupitia M-PESA kufanikisha Vuguvugu la Mabadiliko nchi nzima

Chadema ina takribani wanachama milioni mbili. Kila mmoja akichangia angalau shs 1,000/- kwa mwezi, M4C inapata Bilioni 2. Hii ni mara 10 ya ruzuku inayopata Chadema kwa mwezi. Mara 10!
Kuwa sehemu ya mabadiliko na kuwa upande sahihi wa historia. Waweza kuchangia kiasi chochote kile mara nyingi kadri unavyopenda. Wajulishe wengine pia kuhusu habari hii

Jinsi ya kuchangia:

Bonyeza *150*00#
Chagua 4. Lipa bili yako
Chagua 1. Ingiza namba ya kampuni
Ingiza namba ya kampuni (111 333)
Ingiza namba ya kumbukumbu. (Namba yako ya simu)
Ingiza kiasi (Kiasi chochote kuanzia 1,000 mpaka 1,000,000)
Ingiza namba ya siri (Namba yako ya siri)
Thibitisha kwa kubonyeza 1 au batilisha kwa kubonyeza 2.

Mbona transaction haikamiliki, au ni mtandao unasumbua? Tunaomba wahusika wa cheki na Vodacom
 
WOW ... Imefanikiwa !! Asante MUNGU, nimefanikiwa kuchangia CHADEMA. Ni raha iliyoje kuwa sehemu ya mabadiliko.
 
Nashauri wengine tufuate utaratibu huu. Fungu la 10 kwa mungu wangu, fungu la 10 linalofuata kwa cdm
 
Kwa M-PESA tu

nyota 150 reli ok

1.Tuma pesa
2.Toa pesa
3.Nunua muda wa maongezi
4.Lipa bili yako
5.Akaunti yangu

ok 4 ok
1.Ingiza namba ya kampuni
2.Majina ya kampuni yaliyohifadhiwa

ok 1 ok

Weka namba ya kampuni

ok 111333 ok

Weka namba ya kumbukumbu ya malipo
ok namba yako ya simu ya m-pesa ok
Weka kiasi
ok 1000 au zaidi ok

Bonyeza 1 kuthibitisha au 2 kubatilisha

ok 1 ok

Tupiganie mabadiliko sasa
 
Hive mjinga ni nani anayefikiri kuwa Watanzania hawajui mwizi wao ni nani au anayewataka Watanzania wachangie ndiyo za CHADEMA.?
 
Changia CHADEMA kupitia M-PESA kufanikisha Vuguvugu la Mabadiliko nchi nzima

Chadema ina takribani wanachama milioni mbili. Kila mmoja akichangia angalau shs 1,000/- kwa mwezi, M4C inapata Bilioni 2. Hii ni mara 10 ya ruzuku inayopata Chadema kwa mwezi. Mara 10!
Kuwa sehemu ya mabadiliko na kuwa upande sahihi wa historia. Waweza kuchangia kiasi chochote kile mara nyingi kadri unavyopenda. Wajulishe wengine pia kuhusu habari hii

Jinsi ya kuchangia:

Bonyeza *150*00#
Chagua 4. Lipa bili yako
Chagua 1. Ingiza namba ya kampuni
Ingiza namba ya kampuni (111 333)
Ingiza namba ya kumbukumbu. (Namba yako ya simu)
Ingiza kiasi (Kiasi chochote kuanzia 1,000 mpaka 1,000,000)
Ingiza namba ya siri (Namba yako ya siri)
Thibitisha kwa kubonyeza 1 au batilisha kwa kubonyeza 2.

Wasioingia kwenye Internet wanapataje taarifa hii kwa njia rahisi???
 
Back
Top Bottom