- Thread starter
- #21
Tatizo una udogo wa mawazo. Swali kubwa la kujiuliza, kwani chadema hawakutumia vigezo kuteua wabunge? Hebu hesabu ccm wako watoto wa wakubwa wangapi?Ulizia balozi zetu nani wamejaa huko. Nenda BOT nani wamejaa kule? Acha upuuziharakati gani za ukombozi mkuu. Ukombozi wa kuwajaza ndg zao na watoto kwenye ubunge viti maalum.
Nakuunga mkono mkuu.