"Changes on the fingers" Lema kuanza kuifumua CCM - Dar

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Baada ya Kuibomoa CCM kanda ya Kazikazini na kanda ya Ziwa sasa ni zamu ya Dar, Lema kuanza kwa kuzindua mabadiliko kupitia kiganja, Lengo ni kuwafikia watanzania wengi zaidi wenye access na mitandao mbali mbali ambao kwa njia moja ama nyingine hushindwa kufika kwenye mikutano ya ukombozi wa taifa lao…
 
Mungu ampe maisha marefu Godbless Lema.Tena naombea mahakama ya rufaa ichelewe kutoa hukumu yake.
 
Bila shaka huu moto hauzimiki ni mpaka kieleweke.

Lango hadi lango!

Viva Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
 
Elezea zaidi. Sijakuelewa. Anazindua nini, wapi na lini? Tafadhali ongeza nyama kwenye ujumbe wako..
 
M4C ifike na Morogoro pia,majority ya watu wa huku hawatofautiani sana na watu wa Dar,Dodoma na Tanga!wanahitaji ukombozi wa kifikra
 
Hapo dar panahitaji nguvu kubwa mno,kwa sababu watu wa hapo bado wako gizani sana,
Kamanda cheza nao hao mpaka wabadirike.
 
I real appreciate this guy from ma heart though am CCM member...every section of his mental and physical apperance he is good at all., long live Lema
 
Hapo dar panahitaji nguvu kubwa mno,kwa sababu watu wa hapo bado wako gizani sana,
Kamanda cheza nao hao mpaka wabadirike.
kAMA BIBI ZETU VIJIJINI WAMEISHITUKIA CCM KWANINI ISIWE DAR AMBAKO KUNA MAGAZETI, TV,RADIO, MITANDAO.... TENA MIMI NAONA DAR NI RAHISI SANA KUWA ELIMISHA....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom