Change ya Radar: Kamati ya Bunge Uingereza kuchunguza kwa nini bado haijarudishiwa change

Serikali ya Tanzania na Bunge kwa ujumla wamefanikiwa kuishawishi serikali ya Uingereza kuielekeza chenji ya rada hazina ya serikali ya TZ badala ya kuzipeleka kwenye NGO's ili kuwanufaisha wananchi moja kwa moja. Sababu zilizopelekea uamuzi huo ni:
  • Wana imani na uwezo wa bunge kuichunguza na kuidhibiti serikali
  • Kukua kwa sekta ya habari ktk habari za uchunguzi
  • Kuna uwajibikaji wa pamoja wa serikali
  • Kama serikali inaweza ikadhibiti misaada ya bajeti inayopata kutoka uingereza, basi pia inaweza ikadhibiti matumizi ya pesa za rada.
Maoni yangu: Nawapa pole na pongezi wanaharakati waliojaribu kupinga hii kitu. Historia itawaweka mahali stahili.

Source: Ayub Mzee (Michuzi blog)

Habari kwa kina:MICHUZI: just in: TANZANIA WINS BAE PAYMENT ARGUMENT IN THE HOUSE OF COMMONS IN LONDON today
 
  • Thanks
Reactions: EMT
The British arms and aircraft firm BAE Systems has been severely criticised by a UK parliamentary inquiry into a corruption case surrounding an air-traffic-control deal with Tanzania.
MPs accused BAE of unilaterally setting up a compensation arrangement for Tanzania that was a "complete sham".
BAE admitted to not keeping full accounting records of £8m ($12m) it paid to an agent who brokered the deal.
After a plea bargain, it was not found guilty of any wider corruption charges.
The controversy relates to the supply in 1999 of an air-traffic radar control system.
But it could also be a test case for campaigners who say bribery and corruption are a brake on economic development.
In a plea bargain with the prosecuting authorities, the Serious Fraud Office, BAE agreed to pay £30m to the Tanzanian people.
The £30m was effectively a compensation payment to Tanzania - because of the revelation of the embarrassing £8m payment and allegations that the military-style air-traffic system was unnecessarily complex and expensive.
BAE and the Serious Fraud Office said they
could not say if the £8m was used for bribery to seal the radar sale.
A top BAE lawyer, Philip Bramwell, said the company sincerely apologised for events of the past - and he agreed it would not make payments similar to the £8m now.
'Naive'MPs on the watchdog International Development Committee dismissed some of the company's positions as "waffle" and "dissembling".
They repeated a judge's comments that it was "naive in the extreme" to think the £8m was used legitimately and that there was "a high probability" that the sum had been used in the negotiating process to "favour" the BAE bid to supply the radar.
The MPs also asked BAE executives why none of the £30m had yet been paid.
They questioned the right of the company to set up its own advisory board to decide on how the money should be spent - rather than give the money directly to the government of Tanzania, as a group of Tanzanian MPs had requested.
Committee chairman Malcolm Bruce MP asked whether it was not "offensive" for the company to suggest it knew better how to spend the money than the government of Tanzania.
With the Tanzanian government, British aid ministry the Department for International Development has drawn up a plan to spend the money on the
Tanzanian education system - for desks, text books and teachers' accommodation.
Mr Bruce advised BAE to hand the money over to this project "as soon as possible".
The director of the Serious Fraud Office, Richard Alderman, who also appeared before the committee, said he was surprised the money had not yet been disbursed as promised by BAE.
He undertook to write to the company to ask why not - and said there would be "consequences" if there were further delays.

BBC NEWS

maoni
hii ya kupewa hela moja kwa moja naona serikali imeshinda, wameweka hoja ya elimu sasa tusubilie matokeo yake, lakini bado kuna swali gumu kama BAE walitoa £8m kama rushwa je ni nani alikula hiyo rushwa?
serikali ikirudia tena kupotosha hii habari kwamba hii ni hela ya change na tunarudishiwa kwa sababu tulilipa zaidi itakuwa imetangaza wazi inawabeba wala rushwa kutoka na hii scene ya £8m ni wazi ndio sababu ya hiyo pesa tunayoita change kutudishwa.



nimesikiliza kikao cha kamati kwa karibu masaa 3 BAE HAWAJAKUBALI KULIPA KUPITIA SERIKALI YA TZ tena basi wamesema kuna watanzania wengi wamewaandikia kupitia emails kuwaomba wasilipe kupitia serikali ya TZ. BAE walichoamua kukifanya ni kuunda kikosi maalum cha kimataifa cha ushauri itayoangalia namna gani ya kufanya ili pesa hizo ziwafikie walengwa watanzania. Jaji ktk makubaliano yao alisema victims wa swala hili zima ni watanzania na ndio wanastaili kulipwa haikusema serikali ya Tanzania. BAE inachokifanya sasa ni kutaka kuakikisha pesa hizi zinawafikia watanzania wenyewe na si vinginevyo. maofisa wa serikali ya uingereza wangelipenda pesa zilipwe kupitia seikalini ili kulinda maslahi yao ya kibiashara na TZ lakini BAE pamoja na matatizo yao wanaonekana kumlenga mtanzania zaidi kuliko serikali yake.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Serikali ya Tanzania na Bunge kwa ujumla wamefanikiwa kuishawishi serikali ya Uingereza kuielekeza chenji ya rada hazina ya serikali ya TZ badala ya kuzipeleka kwenye NGO's ili kuwanufaisha wananchi moja kwa moja. Sababu zilizopelekea uamuzi huo ni:
  • Wana imani na uwezo wa bunge kuichunguza na kuidhibiti serikali
  • Kukua kwa sekta ya habari ktk habari za uchunguzi
  • Kuna uwajibikaji wa pamoja wa serikali
  • Kama serikali inaweza ikadhibiti misaada ya bajeti inayopata kutoka uingereza, basi pia inaweza ikadhibiti matumizi ya pesa za rada.
Maoni yangu: Nawapa pole na pongezi wanaharakati waliojaribu kupinga hii kitu. Historia itawaweka mahali stahili.

Source: Ayub Mzee (Michuzi blog)

Habari kwa kina:MICHUZI: just in: TANZANIA WINS BAE PAYMENT ARGUMENT IN THE HOUSE OF COMMONS IN LONDON today

Kimsingi nafikiri media za bongo zimeripoti vibaya hii issue. Eti Tanzania wins the payment argument in the House of Commons. Hii thread na nyingine zilizokuwa zinapinga malipo ya moja kwa moja kwa serikali zitakuja kufufuliwa miaka michache ijayo kama zile za Jairo zinavyofufuliwa sasa. What goes around comes around. Kama Uingereza imesimamisha misaada yote Malawi kwa sababu ya rushwa kuna tofauti gani kati ya rushwa za Malawi na Tanzania?
 
June 1973, Yanga1935 tour in Estadio Maracana, Brazil; in Brazil Yanga played Fluminense and lost, 3-5.

CBHOsteU0AAo3QI.jpg
 
Back
Top Bottom