Changanya baba changanya

matamvua

Member
Nov 6, 2011
44
10
Msukuma mmoja aliyekuwa mcha mungu alioa kwa mbwembwe huko kijijini kwao wilaya ya Bariadi. Baada ya miezi mitatu mkewe akamfuata mama mkwe akilalamika kuwa tokea aolewe hajawahi kupata unyumba toka kwa mumewe. Mama akamueleza Baba kuwa kijana huyu hafanyi chochote na mkewe analalamika kutaka kudai talaka. Basi baba wa kijana huyo wa kisukuma akamuita kijana kumpa maelekezo jinsi ya ku- do. Kijana akaambiwa akisikia mdundo wa ngoma usiku aingize uume kwa mkewe na anesenese kwa kadiri ngoma itakavyo dunda. Basi ikafika wakati kijana akaona mdundo wa ngoma unopigwa na baba yake ni taratibu tofauti na kasi yake baada ya kunogewa ndipo aliposema "changanya baba changanya"
 
heheheeeeeee, misukuma bwana, ndo maana ikija Tanga inalowea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom