Changamoto ninazopata baada ya kuhitimu chuo kikuu

Damson88

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
259
24
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena mkubwa sana bila kusahau kuwajari wateja au wanaohitaji huduma zangu. Mfano-na design website, fundi computer n.k. Sasa swali linakuja hivi:- nikiajiriwa(kama ajira zipo) ntafanya kitengo gani? maana mimi ni mtu anayepaswa kujiajiri. Je, mtaji wa kuanzisha biashara ntaupataje? Au niende jeshini TPDF? naomba mwongozo na mawazo yenu nayaheshimu sana. Ahsante! :shut-mouth:
 
Ndo madhara ya sera mbovu za ajira ...mnawafundisha vijana ujasiriamali na wakati hamna mipango ya kuwasaidia kuwa wajasiriamali,serikali dhaifu.
 
Ndo madhara ya sera mbovu za ajira ...mnawafundisha vijana ujasiriamali na wakati hamna mipango ya kuwasaidia kuwa wajasiriamali,serikali dhaifu.

Baada ya kulitambua hili 2najisaidiaje? Najua lipo fungu kwa ajili ya wajasiriamali
 
haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania...watanzania tutajuta kuchagua nyinyiemu...
 
lakin kaka we si mjasiamali ina maana huna mbinu za kijasiriamali??? unden group na wenzako mliomaliza nao then mkope au mtafute jins...tumia elimu yako mkuu!!!
 
Kaka kwa hapa tz kujiajr n vgum sana sana coz hapana mpango kwa mfano nch ka Uganda n vgum lakn sio sana coz mpango n hpo, tz elm n kwa ajr ya kujriwa 2, huo ndo ukwel ko njia rahc n kuajriwa baada ya hapo ukkaasawa unajiajr. swala la kujiar n gum kila sehem ila n zaid kwako wewe ulye kwsha zoea kupokea 7500 /day usiyo hfanyia kaz na unaona kuingiza 3000 kwa cku ulyo ifanyia kaz n ndogo ucrias n muhm tena san
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom