- Thread starter
- #61
NDIO PAMOJA NA KUNIPA SOURCE YAKO YA INFORMATION MIMI PIA NAKWAMBIA KUWA INA MAKOSA HIO WEBSITE YA CCM.NARUDIA HATA KWA DAU LA VISENTI BILIONI TATU,MIMI NAIJUA CCM,NAIJUA SANA...NCHIMBI EMANUEL NDIE ALIEHESABU KURA NA MSHINDI WA KWANZA ALIKUWA NI MWAKYEMBE,WA PILI NIMROD MKONO,WA TATU NI FELIX MREMA NA WA NNE NI FAIDA BAKARI WA TANO NIMEMSAHAU
Fisadi Mtoto,
Nashukuru kwa kunisahihisha. Nimekubali huenda sources zangu nilizotumia kupata hiyo conclusion hazikuwa sahihi. Samahani kwa kukwambia hauko sahihi juu ya hilo.
Binafsi nilifanya juhudi kubwa kuhakikisha hiyo habari kabla ya kuandika lakini nakubali makosa ni yangu maana ndiye niliyeandika.
Samahani kwa yeyeote ambaye kwa njia moja ama nyingine hayo makosa yalimgusa.