Changamoto kwa Chadema

hivi kama chadema ni cha ukabila ukanda udini na uchaga, je! watoto wa wasira,ndugu yake hussen bashe,mama yake zitto ambae ni mjumbe kamati kuu cdm, kamanda tundu lisu mabere marandu, pfs adhala safari baregu, sugu wenjwe, msigwa, kaigi,dr silaa,benson kigaila,rwakare. pamoja na maafisa wengine kibao.hawa ndio wanao wasumbua kwa ukabila udini ukanda na uchaga, ili tushauri kamati kuu cdm iwaondoa mara moja.toeni mawazo yeni.
 
Wewe, acha kujishaua, wataondoka kweli, halafu saccos yenu uone kama itapata hata mwekiti wa kijiji nje ya huki Kaskazini! Acheni kiburi!
Kwa kauli yake mwenyewe ZZK alias MM na kwa mujibu wa takwimu rasmi za matokeo ya uchaguzi mkuu 2010,Dr Slaa alipata kura nyingi kuliko alizopata Zitto katika jimbo lake la uchaguzi huko Kigoma.
Je wapiga kura wa Kigoma walikuwa kabila gani au walisombwa kwa malori toka uchagani?
Ni watu mfilisi wanaoshindwa kuona uhalisia wa mambo na kuanza kushadadia udini ukabila na ukanda,pamoja na kwamba tumeshaanza kuonja shubiri ya propaganda za kutugawa watanzania,inasikitisha kuona watu wanakesha wakipanda megu za chuki kati yetu.
Yawapasa kujua kuwa watanzania wa sasa mbele ya utandawazi wana uwezo mkubwa wakuchambua na kupambanua mambo bila kuhitaji tuition za wamangimeza
 
watu wa mkoa kigoma huwa mna penda ubishi sana. zitto angekuwa hatumiki na miccm, katika mkoa mzima wenye majimbo 7 asingekuwa mbunge wa chama chake chadema yeye mwenyewe eti na diwani mmoja. sasa umaarufu wake uko wapi.
 
Mkuu nakupa pole sana lema hajaenda bungeni ili kuwahamasisha wananchi atown wasiende mkutano wa amani matokeo yake wananchi wamemchoka wanataka amani asubiri kilio 2015

Kwani mkutano waliohitajika ni watu raia au ni viongozi wa vyama..na CDM ndio alyetakiwa zaidi..ili iwe na maana.Na iwaondolee CCM laana.CDM walishawalaani CCM..kila waliyemlaani ktk CCM sijui kazeekea wapi..Tazama,tendwa, Mkama,tazama CUF,tazama,mkapa,....
 
Hivi nyinyi watoto wa Mtei akili zenu mmefungia kwenye mabegi unaandika hovyohovyo tu alafu unataka great thinker wasapoti utumbo,inaonyesha hata shule hukwenda wewe unamawazo mgando kabisa.

Sawa sisi watoto wa Mtei na wewe mtoto wa Wassira ambae amewajengea mawazo potofu kuwa Chadema ni cha kikabila huku yeye akiwashauri wanawe wajiunge na chama anacho kiita ni cha kikabila.

Shida yako wewe ni kukubali kutumika km Sindano inayowekwa uzi kwa nyuma halafu yenyewe inashona kwa mbele.

Chadema hakitakufa kwa maneno yenu ya propaganda ktk mitandao ya kijamii na magazeti ya kufungia maandazi km uhuru,mzalendo,Dira ya Mtanzania nk.

Endeleeni kujipa matumaini humu mitandaoni huku Chadema kikiendelea kusonga mbele.
 
CCM ni majangili ukiwazuia they take your life.Ni nchi amabayo kujitambulisha nje ni ngumu maana wote tumekuwa mazezeta.
 
CCM ni majangili ukiwazuia they take your life.Ni nchi amabayo kujitambulisha nje ni ngumu maana wote tumekuwa mazezeta.

Wanatumia Uzezeta wetu kujinufaisha na familia zao kwa rasilimali za nchi kwa manufaa yao.
Fikiri ingekuwa nguvu hii inayotumika kumtetea Zitto na kuikosoa Chadema kwa uwamuzi wake wa kumvua madaraka, ingekuwa inatumika kuikosoa serikali na kuwatetea Watanzania ambao maisha yao yamekuwa ya shida na ya mashaka kwa kutokuwa na uhakika wa milo miwili kwa siku si tungekuwa mbali sana?

Leo serikali inabariki Tanesco kupandisha bei ya umeme.lakini mijitu mingine haioni hayo badala yake wamebakia tu kuhangaika na CHADEMA Kama vile ndicho chenye kuongoza serikali. Uzuri mmoja hata hawa wanaoitetea ccm humu wengi wao nao wanapigika tu km sisi kwa kununua na kulipia bidhaa kwa bei ileile km wengine.
 
Sasa mkibaki wachaga peke yenu itawasaidia nini?au wachaga wenzenu ndio watawaingiza ikulu? Hii ndio faida ya kuanzisha uzi wakati mbege imekolea kichwani.

Majebere ukiendelea na viroba vyako utaiua jf makabila ya tanzania ni 120 siyo 2 kwa hiyo cdm haiwezi kufa kwa kuondoa watu wa kabila lako
 
Mimi ni wa kiume bwana na sio km wewe unaetumika km Sindano inayowekwa uzi kwa nyuma halafu yenyewe inashona kwa mbele. Kwa hiyo siwezi kujishaua. Huu ndio ukweli km unajua ni Sakos na kwamba itakufa wakiondoka si muachane nayo ife na kwanini utoe ushauri!?

Ni ajabu wewe ambae ni mwana CCM kuionea Chadema huruma badala ya kufurahia kifo chake[Kama ni kweli]. Huu ni ujinga na ni Unafiki kwa kuwa huwezi kuipenda Chadema wakati unaiponda.

Nakuunga mkono bwashee, bora wahame tu tubaki wenyewe na chama chetu babaangu!
 
Serekali ya mafisadi anagawa watu kikabila kidini kikanda kiukwe uwa najiepusha sana na malumbano ya kibaguzi kwani yeyote anaeleta post ya kidini kikanda kikabila uyo ndo'Mdini Mkabila Mkanda namba moja. Ushauri wangu msichangie post yeyote ya kidini kabila kikanda kwani kimya nalo nijibu.
 
Watu waliofiliska kisiasa huishia kwenye udini na ukabila, hawa wanaokiita chadema ni chama cha kikanda wamefilisika kisera... Hawa jamaa ni wanafki wanakiponda chama huku wanaendelea kuwepo siwaondoke...
 
Wanatumia Uzezeta wetu kujinufaisha na familia zao kwa rasilimali za nchi kwa manufaa yao.
Fikiri ingekuwa nguvu hii inayotumika kumtetea Zitto na kuikosoa Chadema kwa uwamuzi wake wa kumvua madaraka, ingekuwa inatumika kuikosoa serikali na kuwatetea Watanzania ambao maisha yao yamekuwa ya shida na ya mashaka kwa kutokuwa na uhakika wa milo miwili kwa siku si tungekuwa mbali sana?

Leo serikali inabariki Tanesco kupandisha bei ya umeme.lakini mijitu mingine haioni hayo badala yake wamebakia tu kuhangaika na CHADEMA Kama vile ndicho chenye kuongoza serikali. Uzuri mmoja hata hawa wanaoitetea ccm humu wengi wao nao wanapigika tu km sisi kwa kununua na kulipia bidhaa kwa bei ileile km wengine.

Mkuu uko sahihi nimekuwa Arusha nimeongea na machalii tu vijiweni wanajua faul za nchi hii balaa. Yaani mapak aibu watu hawalioni. Kama ulivyosema ni either wananufaika na mfumo wa sasa kwa kual makombo ya mabwana zao au ni utumwa wa fikra tu.
 
Back
Top Bottom