Fisadi Mkuu
Member
- Mar 4, 2011
- 72
- 7
Mbona hujataja Mkoa wa Mbeya na Iringa?Mikoa yote yenye watu wenye ubongo unaofanya kazi sawa sawa CDM wametesa na hapo vile vile ni baada ya CCM kuiba sana.Whether you like it or not kiama cha CCM hakiko mbali,kwanza hiyo 2015 CCM wasipomsimamisha Magufuli kugombea urais CDM watachukua nchi kiulaini sana maana hakuna mwingine anaeweza kupambana na Slaa.