Changamoto kwa Chadema

HM Hafif said:
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

HM Hafif,

..kuhusu kuyafikia maeneo mengi zaidi nadhani tunapaswa kuwapa muda zaidi.

..so far, tangu uchaguzi mkuu uishe wanaonekana kuwa na muelekeo mzuri na mkakati ktk kujitangaza nchi nzima.

..baada ya uchaguzi wamekwenda kutembelea na kujiimarisha zaidi kwenye ngome zao kabla ya kuelekeza nguvu zao ktk maeneo mapya.

..kwa maeneo ya Pwani na Kusini wanachopaswa kufanya ni kutafuta makada wachache wazuri wenyeji wa maeneo hayo[Pwani,Kusini], baada ya hapo wawawezeshe makada hao.

..hata Kaskazini ambako Chadema wanadaiwa kuwa na umaarufu walianza kwa kusuasua, lakini juhudi na uvumilivu wao ndivyo vimewawezesha kuyateka maeneo hayo.

..naomba nikumbushe kwamba 1995 Freeman Mbowe alishindwa uchaguzi jimbo la Hai. NCCR walikuwa na nguvu Kilimanjaro na Arusha kuliko CDM.

..kwa upande wa Arusha, muasisi wa Chadema, Mzee Kimesera amegombea mara kadhaa bila mafanikio. kwa msingi huo utaona kwamba mafanikio yao yamepatikana baada ya kuwa dissapointmented mara kadhaa

..hata kanda ya Ziwa, muasisi mwingine wa Chadema, na mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Mzee Mohamed 'Bob' Makani amewahi kugombea ubunge Shinyanga bila mafanikio. again, baada ya CDM ku-regroup na ku-recover wameweza kupata viti vya ubunge ktk eneo hilo.

..mafanikio waliyoyapata CDM leo yanatokana na mchango, busara, na uvumilivu wa kisiasa, wa waasisi wake kama Mzee Mtei,Mzee Kimesera,Mzee Makani, Mzee Ngwilulupi, Mzee Ndesamburo, etc etc ambao waliweka misingi ya CDM.

..HOJA YANGU NI KWAMBA TUWAPE MUDA NA TUWATIE MOYO VIONGOZI WA CDM ILI CHAMA KISAMBAE TANZANIA NZIMA.

..VILEVILE, MIMI,WEWE,NA YULE, TUNAPASWA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU HAKI ZAO NA MAPUNGUFU YALIYOKO NDANI YA CCM, ILI WANANCHI WAPATE UJASIRI WA KUJARIBU VYAMA VINGINE KAMA CDM,CUF,NCCR etc etc.
 
Ruka na kataa lakini ukweli unabaki pale pale CHADEMA ni chama cha kikanda sio cha kitaifa. Changamoto jitahidini basi kiwe cha kitaifa na kupata wabunge sehemu zote za nchi.

Hiyo ni changamoto kubwa kwenu mwelezeni Dr Slaa na Mbowe

wamekwambia hawataenda huko unakotaka?
 
HM Hafiif kwa mtazamo na maoni yako ni chama kipi cha upinzani chenye sura ya kitaifa kama ambavyo ungependa kuona wewe? Naomba usiruke post yangu maana kuna follow up questions nataka kukuuliza ili tufikie muafaka kuhusu haya maoni yako.
 
Good point. Kwanza, Padre Slaa hawezi kuja Dar kutuletea ujinga wake. Pili akija Dar, kuleta maandamano yake yasiyo na msingi, lazima ajue kutakuwa na counter-attack kutoka kwa Waislamu. Agenda kubwa ya Padre Slaa ni kuleta Udini wake serikalini, Waislamu hawakubali kuongozwa na Padre Slaa. Best kwa huyu jamaa ni kukaa huko huko kwa Wakatoliki wenzake, best for him ni kutokuja Dar.
 
Sasa hapa nani ndiyo mdini? Waislamu serikalini wanabidi wakubali tu kwamba kuna wakati wataongozwa na raisi Mkristo vila vile Wakristo kuna wakati wata ongozwa na Muislamu kama sasa. It's something you can't avoid. Kama siyo Slaa basi Mkritso mwingine tu.
 
Tatizo si kuongozwa na kiongozi Mkiristo. Tatizo lipo kwamba Dr. Slaa ni Mdini zaidi. Agenda yake kubwa ni kuleta Udini. Mfumo wa uongozi wa Chadema upo zaidi kidini na ukabila. Waislamu hawana tatizo lolote la kuongozwa na Mkristo, lakini siyo Padre Slaa.
 
HUU NI MOTO WA KUOTEA MBALI MKUU,TULIA HIVYOHIVYO KAMA MAJI YA KWENYE MTUNGI,USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA :rain:

Ruka na kataa lakini ukweli unabaki pale pale CHADEMA ni chama cha kikanda sio cha kitaifa. Changamoto jitahidini basi kiwe cha kitaifa na kupata wabunge sehemu zote za nchi.

Hiyo ni changamoto kubwa kwenu mwelezeni Dr Slaa na Mbowe
 
UNAZO KWELI!KWELI WE NI MKWERE KAMA SIKOSEI.ANGALIA!:rain:

Good point. Kwanza, Padre Slaa hawezi kuja Dar kutuletea ujinga wake. Pili akija Dar, kuleta maandamano yake yasiyo na msingi, lazima ajue kutakuwa na counter-attack kutoka kwa Waislamu. Agenda kubwa ya Padre Slaa ni kuleta Udini wake serikalini, Waislamu hawakubali kuongozwa na Padre Slaa. Best kwa huyu jamaa ni kukaa huko huko kwa Wakatoliki wenzake, best for him ni kutokuja Dar.
 
Kwa hiyo unatushauri tuendelee na maandamano pamoja na mikutano ya hadhara nchi nzima kama ilivyo ratiba si ndiyo....!Basi mwambie mkwere atulie tumnyoe..teh teh teh!

Hii imekaa vizuri...

Maandamano na Mikutano ya hadhara itaendelea kwa kwenda mbele... Pole kwa anayeumia roho...
 
Ndio maana nikawapa Chadema Changamoto kuwa wakitaka kushinda na kuongoza nchi NI LAZIMA CHAMA HICHO KIWE CHA KITAIFA NA SIO KIKANDA. kWANI KIKIWA CHA KIKANDA HATA KWA MIAKA MIA TANO IJAYO HAWATAONGOZA NCHI HII.
Mi nakubaliana na angalizo lako lakini sikubaliani kwamba cdm ni chama cha kikanda. ukichukulia kanda zinazofahamika ni kuwa chadema imeweza kupata mbunge angalau katika kila kanda isipokuwa kanda ya kusini ya mikoa ya mtwara lindi na ruvuma. nakubaliana nawe ili chadema ipate uwakilishi wa kutoka katika sehemu ambazo ziko nyuma kimwamko inabidi iongeze juhudi katika maeneo hayo, lakini hata hivyo nakuhakikishia kwamba chadema inaweza kuchukua nchi hata bila kujikita katika maeneo hayo. Fanya utafiti wa mgawanyo wa wapiga kura halafu utaelewa ninachoongea.wasalaaam
 
Wewe unafikiri Chadema na Padre Slaa watatawala nchi hii? No way. Unafikiri Waislamu wamelala? Unafikiri Waislamu watakubali kutawaliwa na Padre Slaa? No way.
Unajua kwa nini Padre Slaa haendi Dar, Tanga, Mtwara? Anaogopa Counter-Attack kutoka kwa Waislamu.
 
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

haya ni mawazo ya mwana Jf katika moja ya thread zako mbona unakuwa mwizi wa mtazamo wa wenziyo
toa basi taarifa ya ku quote basi maana umemeza kama ni mawazo yako vile
 
Ruka na kataa lakini ukweli unabaki pale pale CHADEMA ni chama cha kikanda sio cha kitaifa. Changamoto jitahidini basi kiwe cha kitaifa na kupata wabunge sehemu zote za nchi.

Hiyo ni changamoto kubwa kwenu mwelezeni Dr Slaa na Mbowe

....kuna faida gani kuwa na chama kilichoenea Tanzania bara na visiwani(ccm) ila kinawanyonya wananchi na kufanya "ukoloni mweusi" kwa mali za wananchi????? ni kheri kuwa na chama kinachopigania haki za wananchi huku kikiendelea kukua kwa hoja mathubuti!!!!
 
Mi nakubaliana na angalizo lako lakini sikubaliani kwamba cdm ni chama cha kikanda. ukichukulia kanda zinazofahamika ni kuwa chadema imeweza kupata mbunge angalau katika kila kanda isipokuwa kanda ya kusini ya mikoa ya mtwara lindi na ruvuma. nakubaliana nawe ili chadema ipate uwakilishi wa kutoka katika sehemu ambazo ziko nyuma kimwamko inabidi iongeze juhudi katika maeneo hayo, lakini hata hivyo nakuhakikishia kwamba chadema inaweza kuchukua nchi hata bila kujikita katika maeneo hayo. Fanya utafiti wa mgawanyo wa wapiga kura halafu utaelewa ninachoongea.wasalaaam

nashukuru sana kwa hoja zako nzuri sana lakini zikiwa na mapungufu yafuatayo.

Kwa mwanasiasa yoyote hususan wakati wa uchaguzi basi mtaji wake mkuu ni kupata kura.

Mtaji mkuu wa vyama vya siasa katika kuongoza nchi ni kupata wabunge wengi pale mjengoni ili waweze kupitisha kila kile kilichomo ndani ya manifesto yao na sio kupata kura nyingi za uraisi bila wabunge wengi.

Kwa mujibu wa katiba yetu wabunge wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani na raisi na kusababisha raisi kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi mwingine.

Kumbuka kuwa Chadema ilianza nafikiri toka 1992 mpaka leo bado wanasuasua tu kujiweka kama chama cha kitaifa wanasema tusubiri mpaka lini.

Kwa mtaji wa chadema wa subiri subiri basi nchi hamtaweza kuitawala mpaka muwe chama cha kitaifa na si cha kikanda.

Changamoto hiyo ifanyieni kazi
 
haya ni mawazo ya mwana Jf katika moja ya thread zako mbona unakuwa mwizi wa mtazamo wa wenziyo
toa basi taarifa ya ku quote basi maana umemeza kama ni mawazo yako vile

kama unao ushahidi kuhusu hilo unalonena basi uweke hadharani kuonyesha nime copy wapi ikiwezekana na link yake ili tujue mbivu na mbichi sio kulalama bila ushahidi alafu unajiita Great Thinker.

Acha uzandiki wa CDM

HM Hafiif kwa mtazamo na maoni yako ni chama kipi cha upinzani chenye sura ya kitaifa kama ambavyo ungependa kuona wewe? Naomba usiruke post yangu maana kuna follow up questions nataka kukuuliza ili tufikie muafaka kuhusu haya maoni yako.

Nafikiri tusiwe wavivu wa kufikiri. Wewe pitia kwenye web site ya bunge kisha angalia chama gani kina wabunge sehemu zote hapa nchini kisha utajua kuwa chama hicho ni chama chenye sura ya kitaifa.

karibu sana
 
HM Hafif,

..kuhusu kuyafikia maeneo mengi zaidi nadhani tunapaswa kuwapa muda zaidi.

..so far, tangu uchaguzi mkuu uishe wanaonekana kuwa na muelekeo mzuri na mkakati ktk kujitangaza nchi nzima.

..baada ya uchaguzi wamekwenda kutembelea na kujiimarisha zaidi kwenye ngome zao kabla ya kuelekeza nguvu zao ktk maeneo mapya.

..kwa maeneo ya Pwani na Kusini wanachopaswa kufanya ni kutafuta makada wachache wazuri wenyeji wa maeneo hayo[Pwani,Kusini], baada ya hapo wawawezeshe makada hao.

..hata Kaskazini ambako Chadema wanadaiwa kuwa na umaarufu walianza kwa kusuasua, lakini juhudi na uvumilivu wao ndivyo vimewawezesha kuyateka maeneo hayo.

..naomba nikumbushe kwamba 1995 Freeman Mbowe alishindwa uchaguzi jimbo la Hai. NCCR walikuwa na nguvu Kilimanjaro na Arusha kuliko CDM.

..kwa upande wa Arusha, muasisi wa Chadema, Mzee Kimesera amegombea mara kadhaa bila mafanikio. kwa msingi huo utaona kwamba mafanikio yao yamepatikana baada ya kuwa dissapointmented mara kadhaa

..hata kanda ya Ziwa, muasisi mwingine wa Chadema, na mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Mzee Mohamed 'Bob' Makani amewahi kugombea ubunge Shinyanga bila mafanikio. again, baada ya CDM ku-regroup na ku-recover wameweza kupata viti vya ubunge ktk eneo hilo.

..mafanikio waliyoyapata CDM leo yanatokana na mchango, busara, na uvumilivu wa kisiasa, wa waasisi wake kama Mzee Mtei,Mzee Kimesera,Mzee Makani, Mzee Ngwilulupi, Mzee Ndesamburo, etc etc ambao waliweka misingi ya CDM.

..HOJA YANGU NI KWAMBA TUWAPE MUDA NA TUWATIE MOYO VIONGOZI WA CDM ILI CHAMA KISAMBAE TANZANIA NZIMA.

..VILEVILE, MIMI,WEWE,NA YULE, TUNAPASWA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU HAKI ZAO NA MAPUNGUFU YALIYOKO NDANI YA CCM, ILI WANANCHI WAPATE UJASIRI WA KUJARIBU VYAMA VINGINE KAMA CDM,CUF,NCCR etc etc.

Subiri subiri utamkuta mwana si wako. Vile vile Chadema iliasisiwa kama sikosei 1992 mpaka leo almost 20yrs bado hakijawa na mtazamo wa kitaifa je unahitaji muda gani tena?

Lazima ufahamu sisi hatuna serikali za majimbo. kwa hiyo msipobadili mitazamo yenu Chadema na kuwa na mtazamo wa kitaifa badala ule wenu wa sasa wa kikanda basi maisha yenu yooooooote hamta pata fursa ya kuitawala Tanzania kisharia.

Fikirieni hilo na liwe changamoto kwenu kuelekea uchaguzi wa 2015.
 
Nakubaliana na wewe kwa hoja kwamba CDM bado wana changamoto nyingi zinazowakabili ili kujijenga kwa wananchi.
Sikubaliani na wewe kwamba hichi ni chama cha kidini, kikanda nk. Kukubalika eneo moja na kutokubalika eneo jingine ni kitu cha kawaida kwenye siasa. Mbona hata huko USA tunasikia kuna States ambazo ni ngome ya Repubs na nyingime ni ngome ya Dems? Tena kuna maeneo ya Dems ambapo Repubs huwa hawajisumbui hata kuweka hata wagombea! Pia kuna 'swing' states- maeneo ambako vyama vyote vinakubalika. Juzi juzi kulikuwa na uchaguzi wa Meya wa Chicago. Repubs hawakuwa hata na mgombea hata mmoja, wote walikuwa Dems? Why? Repubs wanajua Chicago ni ngome ya Dems. Mbona vyama hivi havilaumiwi kuwa ni vya kikanda?
Ikumbukwe pia kwamba kwa chama chochote kuconsolidate support nchi nzima na mkawa na majority siyo kazi rahisi. CCM wapo kote kwa sababu wamerithi toka mfumo wa chama kimoja. Lakini ngome zao zinaendelea kuporomoka kadri watu wanavyoendelea kupata uelewa.

Mwambie asome hapo shule ya kutosha hiyo na ujinga wake anaandika bila kujua
 
Back
Top Bottom