Changamkieni dili za scholarship hizi hapa! [2011-2012]

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Changamkieni dili za scholarship hizi hapa!
 
Attachments

  • Mexico- Call_for_Scholarships_2011.pdf
    75.5 KB · Views: 206
Hakuna ya kupambana na drug traficking? Hawa jamaa wako very serious na kuwamaliza drug trafickers. Tupeleke watu wakasomee hizi course za maana sasa
 
Hakuna ya kupambana na drug traficking? Hawa jamaa wako very serious na kuwamaliza drug trafickers. Tupeleke watu wakasomee hizi course za maana sasa
ukifungua hilo pdf file wameandika unaweza kuomba kusoma somo lolote lenye manufaa kwa taifa lako! kama unadhani drug trafficking litasaidia Tanzania poa , kila la heri mkuu!:shock:
 
Back
Top Bottom