Changamkia viwanja vya bei rahisi jijini arusha

15x10 mitres ?

banda la kuku hili

Yaani jamaa kama tapeli fulani, hatoi maelezo kamili kama hajaenda shule.

Elezea watu kuwa ninauza viwanja KwaMrombo - Mbauda havijapimwa 25 - 20m Tshs..... , 30 - 25m Tshs...... maelewano yapo.

Kwa hiyo unayosema 15 - 10m 3ml ni bora nikanunue Kisongo nina uhakika wa kupata 25 - 20 hata kama nikiongeza kidogo ni bora.
 
utapeli huu! Kuna jamaa yangu alinunua kiwanja huko kwa mrombo. Siku moja akaenda kukitembelea kile kiwanja.akakuta kumesha jengwa na mtu keshahamia nilishika mdomo kwa mshangao.
 
HIYO BEI NI POA SANA KWA ARUSHA VIWANJA VIPO JUU SANA,.MIMI NINACHO PALE SANAWARI 17M X 20M BEI NI 7ml.

Nitafute kwa namba hizi 0754324137.
 
Wa kuelewa tushakuelewa.
Je plots zenyewe zinafikika kwa barabara au ndo mpaka ununue barabara?
Sema kama maongezi yapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom