Chang'aa noma

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Wanawake wa kijiji fulani nchini kenya wameandamana kwenda nyumbani kwa muuza chang'aa mmoja na kumpa kipigo pamoja na kuharibu makazi na mitambo yake ya kutengenezea hiyo pombe.

Wanawake hao walidai kwamba huyu muuza chang'aa ndiyo sababu ya waume wao kuondoka nyumbani alfajiri na kurudi usiku wamelewa chakari.
"Waume zetu wanashindwa kuhudumia familia zetu sababu ya chang'aa, watoto wetu kabla ya kwenda shule lazima wapitie kwa huyu mama, wanapewa chang'aa kwa mifuko ya plastic ,wanalewa ndo wanaenda shule", walisema akina mama hao.
 
Back
Top Bottom