Changaa kuhalalishwa Kenya....Duh!!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kweli Kenya kila kukicha kuna picha kali inajitokeza. Sasa leo kuna hili swala la changaa
ambalo limejadiliwa Bungeni na kupasishwa. Kinachosubiriwa ni Rais kutia saini tu...:lock1:


Your chang’aa will now come in a glass bottle



By NATION Reporter
Posted Thursday, June 24 2010 at 21:28



Big brewers have six months to start distilling chang’aa (illicit brew) and lower the price of their drinks if President Kibaki assents to the Alcoholic Drinks Control Bill.

The House unanimously passed the Bill yesterday with quick amendments that will not see manufacturers going into mass brewing of chang’aa.


Cottage industry


The Bill by Naivasha MP John Mututho (Kanu) was altered to make it illegal to promote “an alcoholic drink in such a manner as to encourage more consumption of alcohol to win an award or prize.”

This means that promotions frequently run by giant brewers like East African Breweries will no longer be legal. But to avoid killing the thriving cottage industry brewing sector, Parliament also set a minimum package of 250ml.

“The alcoholic drink previously known as chang’aa shall be manufactured, packed, sold and distributed in glass bottles (of 250ml),” the Bill says.

Drunkards are also in for a torrid time because if they are arrested for being “drunk and disorderly” they will be fined a maximum of Sh500 or go to jail for up to three months.

If found guilty for the third time, the culprit will be sent to a rehabilitation centre. And selling alcohol to a person coming from rehabilitation before 12 months have lapsed will be a crime.

This means the magistrate has an obligation to inform all those dealing in alcohol that a person has been to rehab.

The minister in charge of provincial administration has unfettered powers to dictate how the package of the drink will look like and insist on a picture showing the dangers of alcohol.

Other new inclusions to the Bill are warning messages such as “alcohol harms your unborn baby” and “alcohol consumption can impair fertility or cause impotence.”

Daily Nation:*- News*|Your chang
 
I don't see the problem of legalizing "illicit brews". Most of our ancestors grew up drinking palm wine, banana drink etc. They are traditional drinks which are thus far made using primitive technology.

The only reason these brews have been harmful is because they are illegal. Since they are illegal no one can come up with meaningful technology or investments to improve their quality. If they were to be legalized and the bureaus of standard took it upon themselves to make sure they are up to standard then there is no problem. They can improve the economy and provide much needed employment if done the right way.

Most of these brews can be marketed to be uniquely African and might even make a good export commodity as long as they are up to standards. I don't see how the mainstream alcohol is more harmful than these local ones. It's time we improved on our own products and try to better them instead of just knocking them down for "European" products which are no less harmful. If Kenya has seen this then kudos to them.

There are lot of opportunities for economic growth in Africa, our problem is that we don't know how to use what we have.
 
Just like Uganda Waragi was legitimized. It will discourage the brewing of lethal drinks called Kumi Kumi that kill OR destroy the eyesight.
It's been a long tme coming. They should have done this a long time ago, to discourage illicit brewing in which the local brewer puts anything in the chang'aa to make it potent-Formaldyhide, Old batteries, Battery acid and many other unsavoury thhings .
 
It's been a long tme coming. They should have done this a long time ago, to discourage illicit brewing in which the local brewer puts anything in the chang'aa to make it potent-Formaldyhide, Old batteries, Battery acid and many other unsavoury thhings .


Duuh! hapo kwenye red sasa hiyo ni recipe for alcohol or some liquid bomb only sulphur is missing to create the intenstine explosion, let alone the blindness embu punguza chumvi kidogo.

 
Nafikiri ni hatua moja ya mabadiliko ya kuelekea kuharibu jamii na muruwa wake, ni hatua kubwa hata kuelekea kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Mututho (sina hakika kama na yeye ni mjasiriamali wa uraibu huo na watu wake wa Naivasha) ninachojuwa ni kuwa sasa serikali ya Kenya ijitayarishe na matumizi zaidi ya fedha za walipa kodi katika sekta ya afya kwa kuwashughulikia hao wataohitaji 'rehabs',maana fikiria tu chan'gaa imekuwa marufuku na wanywaji wake ni wengi sikwambii imeshahalalishwa sasa!

Serikali pia ijitayarishe na mmon'gonyoko wa maadili na familia kwa maana wanaume wengi wa maeneo ya watu masikini (mabanda) na maeneo ya mijini ni watumiaji wakubwa wa kilevi hicho kisicho na udhibiti katika unywaji wake, tutakuja kushuhuidia utelekezaji wa familia, uzembe, na kutoshiriki vyema kwa wananchi hasa wanaume katika shughuli za kilimo na uzalishaji na kutumia mda wao mwingi kulewa chan'gaa bila ya hofu yoyote.

Suala la uhalifu na uasharati nalo halitakosa kuiongezea mzigo wa kazi serikali kwa maana si viwanda vya chan'gaa tu bali hata vilabu vya kuuza vitaongezeka na matendo maovu yatasambaa, tutashuhudia ongezeko la vitendo vya uasharati na vifo vya kunywa kupita kiasi, again, mzigo kwa serikali kuhudimia taifa la wagojwa na wanywaji ovyo ovyo.

Wakati vipato vya akina John Muthutho vitaongezeka kwa kufanya biashara hiyo na kuidhibiti kwa nguvu ya fedha zao, vile vya wananchi vitadidimia kwa kuwa wao watabaki kuwa ni watumiaji zaidi, hivyo kipato cha mwananchi wa kawaida wa mitaa ya mabanda na maeneo ya mashambani hakitamsaidia kwa kula yake na kuvaa seuze kusomesha watoto na kumudu kuihudumia familia, hivyo umasikini utaongezeka kwa kasi ya "chicharito uwanjani".

Niwape pole wa kenya baada ya wabunge wao kupoteza mda wa kutafuta mambo ya maana ya faida kwa wananchi wao masikini wanaoishi chini ya dola moja kwa siku,wamepoteza mda wa wananchi kuwapatia mambo ya kuharibu maisha yao na muruwa wake. Wakati hii ikiwa ni habari njema kwa walevi na wajasiriamali wa sekta hiyo, ni habari mbaya kwa jamii na familia za wakenya masikini hasa wanawake na watoto ambao wanakumbana na madhila na manyanyaso ya wanaume walevi wa mirungi na cha'ngaa kila siku.
 
[/COLOR]
Duuh! hapo kwenye red sasa hiyo ni recipe for alcohol or some liquid bomb only sulphur is missing to create the intenstine explosion, let alone the blindness embu punguza chumvi kidogo.


Mkuu,

alosema Nyaralego hapo ni kweli kabisa maana Kenya nd'o michezo yao hio. Yaani Changaa hutundikwa
chochote ilmradi iwe 'kali'. Hizo recipe walahi tena zinatumika na nd'o maana watu wanakufa na wengine
kua vipofu bila hata kujijua. Nakumbuka story moja mitaa ya Bonde la ufa mji unaitwa Makutano...jamaa
walikua wanakunywa changaa ambayo ilikua haijafanyiwa ukarabati wa kisawasawa na kadri walipokua
wanakunywa, jamaa mmoja akaanza kulalamika eti watu wamezima taa...la kushangaza ilikua ni wakati
wa jua la vichwani. Baada ya muda kidogo wakaanza kudondoka mmoja baada ya mwengine.

Kisha kuna hii hapa nayo

Chang’aa death toll hits 9

PIX4.jpg

A Shauri Moyo resident who identified himself as Abedi Pele took the illicit brew and had yet to sober up by Saturday while another resident looks in the direction of a chang’aa den that was brought down by youths from her house

Six more people died on Saturday at a Nairobi hospital as the death toll arising from the consumption of illicit brew in a city estate on Friday rose.

The deaths reported at the Kenyatta National Hospital bring to nine the number of lives claimed by the incident in Shauri Moyo estate so far. Three others were reported to have died soon after drinking the brew on Friday.


Residents, however, put the number of the dead at 18.


Kenyatta National Hospital public relations officer Simon Ithae said the referral hospital had received the patients, including the ones that later died, on Friday night...

Daily Nation:*- News*|Chang


 
[/COLOR]
Duuh! hapo kwenye red sasa hiyo ni recipe for alcohol or some liquid bomb only sulphur is missing to create the intenstine explosion, let alone the blindness embu punguza chumvi kidogo.


Kwa Kweli ndugu Juma Contena ...they put such things in the changaa ndio iwe potent kabisa , half a glass ya sh.10 tosha kabisa. Hence the name in some places kumi kumi. It's bad it kills people. It is not changaa as we know it, it is tampered with so much, long time ago the complaint was that it was weak becaus most changaa sellers diluted it with water to have more of it. then they got clever.
I remember reading about an incidence in Machakos...the drinkers went blind in the little chang'aa den they were in, others ended in hospital na drip ya Vodka...the irony wast they need some alcohol to get them off that high. Otherwise they would have died. Lakini that form of changaa kills ukisoma newspapers za kenya you will come across such news. Imagine sio kuongeza chumvi wala nini... click on this lnk to see some alcohol related storys from daily nation. It is sad ...

Daily Nation:*- News*|Murang
 
Back
Top Bottom