Changa moto kuu za Sensa

Emwaay

Member
Jul 10, 2012
25
0
Wakati maandalizi ya zoezi yanasemekana kupamba moto, pia kuna changamoto nyingi pia zimejitokeza katika maeneo mbalimbali hasa pale walipotangazwa wasimamizi wa shughuli hiyo. Inaelezwa kuwa uteuzi wa makarani umekabiliwa kwa kiasi kikubwa na :-

1.rushwa
2.ukiukwaji wa principles za undeshaji
3.mgomo wa walimu kuzingatiwa
4.siasa nayo imo.

Nimeongea na viongozi wa serikali ndogo za vijiji,kata na tarafa wanasema wanashanga kuona makarani ambao sio wakazi wa maeneo husika wakati applicants wengi kutoka maeneo hayo na wenye sifa stahili wameachwa na badala yake majina yanabandikwa usiku maana yake kuna rushwa.walimu wengi pia walalamika kuondolewa katika suala hilo hasa wale VIJANA VIJANA,na hii inaonesha tayari usiasa umo ukizingatia vijana wengi wapo vyama pinzani hasa CHADEMA na wapo kwa ajili ya maendeleo na si vingine,suala la mgomo me nadhani walimu hawakuwa na kosa ni haki kimsingi na kwa sababu za wazi kabisa,mambo yote haya wewe unadhani kuna uhalali wowote?

TZ itaendelea kwa style hii.me nadhani suala la msingi ni kureviw IQs za mifumo yetu ya kiutawala kwa ngazi zote.
 
Back
Top Bottom