chanel ten live kipindi al rissala: mada-changamoto za mchakato wa katiba

The Listener

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
993
213
Ninachoshindwa kuelewa ni maelezo ya shekhe mataka kwani zaidiya silimia 50% ya maelezo yake ni kuingiza suala la mahakama ya kadhi ndani ya katiba. Kwa kuonyesha kuwa hawakujiandaa na majibu ya maswali toka kwa wananchi maswali mengi yameonekana kutakiwa kujibiwa na tume yenyewe. I hope ingekuwa vyema angekuwepo mjumbe wa tume kama majibu yao yanavyowataka wananchi.

Kuna mpiga simu mmoja (Bwana Jackson) kapiga simu akiwa tofauti na maono ya waendesha kipindi lakini yaonekana amepokelewa negatively na waendesha kipindi.

My take
Nadhani kwa wakati huu elimu juu ya masuala ya katiba ingetolewa na watu au taasisi rasmi zilizo na mtazamo huru
 
Back
Top Bottom