Chanel ten imekaaje hii??

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Sijui ni kwangu tu au ni kote...yani chanel 10 sauti iko chini sana yani ukitaka kusikia inabidi uweke sauti mpaka mwisho ndo unaskia sauti ya kawaida...sasa kivumbi usahau ubadilishe chanel nyingine bila kupunguza sauti unaweza kimbia......kama kuna wanaohusika hapa tafadhali tatueni hilo tatizo bana
 
Siwasiliani nao wala nini kwanza washa nitibua ktk taarifa ya habari wameonyesha habari ya str8 music na huyo mbana pua wao afu ya kina sugu hawajaonyesha...pambaf sana
 
wanafiki sana tu its true sauti ilikuwa problem wamebore zaidi wameonyesha str8 music Mh.Sugu wakabotezea chaneli kumi bana
 
Cjaangalia hizo chanel nyingine wameonyesha? Niliona mlimani tv wameonyesha tena kwa kirefu tu hadi raha
 
sijui ni kwangu tu au ni kote...yani chanel 10 sauti iko chini sana yani ukitaka kusikia inabidi uweke sauti mpaka mwisho ndo unaskia sauti ya kawaida...sasa kivumbi usahau ubadilishe chanel nyingine bila kupunguza sauti unaweza kimbia......kama kuna wanaohusika hapa tafadhali tatueni hilo tatizo bana

pia colour ya movies
za kinaijeria si nzuri
jion hii yangu haikutoa saut kabisaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom