Chanel 10 inaboa mitambo yao

All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
5,453
2,563
Yani toka mafuliko yatokee chanel ten inanzingua sana kwasisi tunao tumia satelite au nao wame adhilika nini? Basi walekebishe tunawaomba
 
Mimi huwa nairuka kwenye selection list maana najua jinsi inavyosumbua.
 
Sio chanel 10 tu hata zote za IPP MEDIA hazipatikani hewani tatizo waliingia mkataba wa kijinga sana kuwa mawimbi yao yawe yanapatikana kwenye dish za ft8 tu na ndio maana ukitumia dish za ft8 unawapata bila tatizo lolote kama unatumia dish la ft6 hiyo imekula kwako.
 
hiyo IPP hata kwenye ft8 nayo isha anza kuzingua, Mamlaka ya mawasiliano sijui wanafanya kazi gani, mi nahisi kuna tatizo coz, startv walichomoka ila wamerudi mbona tv za Kenya hazizingui, mi nahasira na Mamlaka ya mawasiliano hadi basi. coz, mi sijui kazi yao ni ipi hasa kama Chanel zinazingua na hakuna wanacho tuambia
 
Mkuu hata km wanafanya biashara,yaani wanashindwa kuwa hewani.mfano huku KIGOMA ni STARTV lkn TV ya magambo hovyo.Ndiyo digital au upupu tu utuwashe dail
 
Back
Top Bottom