Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam

Kutoka na majaji wengi kuwa na majukumu mengi Dar es salaam na muingiliana wa kesi na majukumu mengine nimemsikia Reporter wa ITV akisema Kesi ya LEMA itaamishiwa Dar es Salaam.

Source: ITV

Bado sijajua kama ndo makubaliano ya majaji maana Reporter wa ITV hajaongea in deep kama haya ndo makubaliano

Ni kweli kuwa majaji wa mahakama za rufaa wanaishi Dar, kwa tuliokuwepo Mahakamani ni kwamba majaji wali order mawakili wa pande zote wapeleke written submission zao kabla ya tarehe 28, ili kesi iweze kuamuliwa tar 2.10, na wakasema ikishindikana kutolewa uamuzi kwa muda huo kesi itahamishiwa Dar. Sasa sikuelewa kwanini wanataka kuhamisha kesi, either ni cost implication au usalama, ama vyote viwili na mengine kwa pamoja.

Kwanza siamini kama mawakili watakubali kesi kuhamishwa kutoka mahali tukio lilipotoke!
Wakithubutu kuihamisha, ndo tutaendelea kuamini kauli ya Tundu Lissu kuhusu uwezo na elimu ya majaji!

Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.

Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'

Nakala: Matola, Kimbunga, Ngongo, Mungi, Crashwise, Candid Scope, Mwita Maranya, Molemo, nk

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams)),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
.. kama wanaihamishia hiyo kesi kwasababu za KISIASA, basi hata HUKUMU yake itakuwa ya KISIASA.
CCM lazima tayari wanamajibu ya kubaka haki ya Lema.
 
Dr to be
kuna kitu wanakiita jurisdiction of the courtkwa ufupi tu mahakama ya mwanzo jurisdiction yake ni tarafa au kata
district court..ni wilaya
RMs court inaweza kuwa wilaya au mkoa

Mkuu hapo kwenye RED umetu-mislead!
Soma section 3 ya Magistrate Court's Act, Cap. 11, R. E. 2002,

Primary courts
(1) There are hereby established in every district primary courts which shall, subject to the provisions of any law for the time being in force, exercise jurisdiction within the respective districts in which they are established.

Courts of a resident magistrate
The Chief Justice may, by order published in the Gazette, establish courts of a resident magistrate which shall, subject to the provisions of any law for the time being in force, exercise jurisdiction in such areas as may be specified in the order.
 
Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.

Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'

Nakala: Matola, Kimbunga, Ngongo, Mungi, Crashwise, Candid Scope, Mwita Maranya, Molemo, nk

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams)),

tumbiri@jamiiforums.com

Nimependa tu hii ''(PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams))''.
Ukimaliza urudi nyumbani kutumikia nchi yako.
 
Courts with broadest geographical jurisdiction are highest court of the court system

kwa hiyo mkuu hapo hakuna kosa lolote kabisa, sisi tunachotaka ni kuona haki ina tendeka na kuona sheria ina fatwa bila kupindishwa.
Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.

Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'

Nakala: Matola, Kimbunga, Ngongo, Mungi, Crashwise, Candid Scope, Mwita Maranya, Molemo, nk

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams)),

tumbiri@jamiiforums.com
 
.. kama wanaihamishia hiyo kesi kwasababu za KISIASA, basi hata HUKUMU yake itakuwa ya KISIASA.
CCM lazima tayari wanamajibu ya kubaka haki ya Lema.
hapo ndipo mtego kwa wale wasioangalia 'picha kubwa' utakapowanasa.
Mh. Chande anaweza kuwa na udhaifu fulani fulani kama binadamu mwingine yeyote lakini asipokuwa makini hapa anaweza kujikua anapoteza hata ile imani ndogo tuliyonayo kwake baadhi yetu!

Mkuu Buchanan,
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba hata hao Wafuasi wa CCM Waliofungua hii kesi wangeenda Moshi au Sumbawanga kufungua hii kesi wasingepata pingamizi hilo la kufungua kesi
outside Territorial Jurisdiction? Emu nipe Authority ya case yoyote iliyofunguliwa outside Territorial Jurisdiction ya Mahakama Kuu tofauti na (Special case) zile za Uhalifu wa Kivita na Ukiukaji wa haki za binadamu ambazo zinafunguliwa kwenye Mahakama za Kimataifa.

Mkuu TUMBIRI,
Hiyo "
Outside Territorial Jurisdiction" imetoka wapi tena?
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tunajua kucheza mpira nje ya uwanja kwa kutumia mdomo. au ndio vile viwanda vya KJ alivyovisema jana?
 
Kutoka na majaji wengi kuwa na majukumu mengi Dar es salaam na muingiliana wa kesi na majukumu mengine nimemsikia Reporter wa ITV akisema Kesi ya LEMA itaamishiwa Dar es Salaam.

Source: ITV

Bado sijajua kama ndo makubaliano ya majaji maana Reporter wa ITV hajaongea in deep kama haya ndo makubaliano
Mkuu Dr. (Ph.D) Kupeng'e,
Kwenye utendaji wa mahakama kuna kitu kinaitwa "jurisdiction" ambayo ni mamlaka ya kisheria ya mahakaka kusikiliza mashauri. Hii "jurisdiction imegawanyika sehemu mbili ambazo ni " pecuniary jurisdiction" inayohusisha uwezo wa mahakama fulani kusikiliza shauri lisilo zidi kiwango fulani cha fedha, mfan mahakama ya mwanzo mwisho wa uwezo wake ni kesi za lets say chini ya laki 500,000 hivyo shauri likisha zidi hapo, mahakama hiyo inakuwa haina uwezo wa kusikiliza shauri hilo hivyo linahamishiwa mahakama ya juu inayoitwa "the court of competent jurisdiction".

Jurisdiction ya pili ni "teritorial jurisdiction" yaani ni mipaka ya mamlaka ya kisheria katika eneo husika. Hii ni inamaanisha mahakama ya eneo fulani haina uwezo wa kisheria kusikiliza shauri la nje ya eneo husika. Mfano tukio likitokea Arusha kesi inafunguliwa eneo la tukio na kuendeshewa kwenye mahakama yenye mamlaka husika ya eneo hilo.

Ingawa Mahakama Kuu inaitwa ni Mahakama yenye "inherent jurisdiction" ikimaanisha haina mipaka yoyote kwa kiwango chochote na mahali popote, lakini sidhani kama inaweza kuhamisha kesi toka Kanda moja ya Mahakama Kuu hadi kanda nyingine!.

Kuna kitu kinaitwa "public interest" kama mahakama inajiridhisha kuwa kama shauri fulani likisikilizwa eneo fulani linaweza kupelekea haki isitendeke au ku hatarisha amani kufuatia public interest, then mahakama inaweza kuihamishia kesi hiyo mahakama nyingine yoyote yenye "competent jurisdiction".

Kama authorities wa Arusha wameiandikia mahakama kuthibitisha kuwa siku ya hukumu ya kesi ya Lema jiji la Arusha linakosa amani kutokana na mashabiki wa Lema, hivyo uamuzi wa mahakama unaweza ku spark public outcry hivyo kuhatarisha amani, kesi inaweza kuhamishwa!.
 
Wakuu tuelimishane,

kuna hatua nyingine zinawezakuchuliwa na Lema au mtu yeyote kwa kutorizika na matokeo ya rufaha hiyo au Chande ndo omega?
 
Hapo penye red. unachukua PhD!!,,,,, hiyo PhD inauzwa bei gani nami nikanunue? ,,,, Ican buy ten of them.

PHD hewa, mtu anashindwa hata kufanya a small research? Kwanza PHD na Law of Contract na Business Law wapi na wapi? labda undergraduate atakuwa.
 
Wakuu, Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam. Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'Nakala: Matola, Kimbunga, Ngongo, Mungi, Crashwise, Candid Scope, Mwita Maranya, Molemo, nkTUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams)), tumbiri@jamiiforums.com
We Tumbili lazima utakuwa mhaya kwa sifa hizo hapo ulizo tumwagia
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tuelimishane,

kuna hatua nyingine zinawezakuchuliwa na Lema au mtu yeyote kwa kutorizika na matokeo ya rufaha hiyo au Chande ndo omega?
Mahakama Ya Rufani ndio Omega na hatua ya kwanza huamuliwa na majaji rufani 3 kama hujaridhika unaomba cour review wanasikiliza majaji 5 inaitwa "Half Bench" na kama hujaridhika unafanya final application for review ule uamuzi wa "Half Bench" then inasikilizwa na "Full Bench" majaji rufaa 7 wakiongozwa na CJ na hapo ndio mwisho wa haki kwa Tanzania. Sijajua kama local cases zinaweza kwenda EA Court!.

Ila kwa vile hizi kesi za uchaguzi ni time barred, na kwenye rufaa yuko CJ mwenyewe ambaye ndiye Omega, then uamuzi wa hapo ndio utakuwa grand final finale!.
Pasco.
 
Nadhani hapa ndio pale ule umuhimu wa katiba mpya unapoonekana.Majaji wote ni wateule wa raisi na kama serikali inataka kesi hiyo iamuliwe kwa namna fulani nyinyi mnatarajia majaji wafanyaje?

Katiba mpya ndio suluhisho pekee la mambo kama haya.
 
Wanaapollo watakodi mabasi yooooooooooooooooote ya Dar ili kumsindikiza Lema! Pikipiki za Mbuguni zoooote njiani Dar! Baada ya hukumu timbwili linaanzia Dar!
 
sidhani mkuu kwani wewe upo wilaya gani?
kama kwetu kilimanjaro kila tarafa ina mahakama yake ya mwanzo na haiwezi kuwa na mamlaka ndani ya tafafa nyingine na ukomo wake kimamlaka ni ndani ya tafara husika na sio ndani ya wilaya
sijui kama unaelewa how to construe the law
ukisema primary court ina jurisdiction ndani ya wilaya that means ina mamlaka ndani ya tarafa au eneo husika lililopo ndani ya wilaya tajwa na sio
wilaya nzima. ukisema wilaya nzima hapo una maanisha district court
na kwa sasa mahakimu wakazi wanakaa ndani ya wilaya ukomo wao unaishia ndani ya wilaya husika ingawa wapo RMs wengine wanaokaa ndani ya RMS court kama kisutu ambao wanahukumu kesi kutoka wilaya yoyote ndani ya mkoa mfano kisutu na mahama zingine za mikoa.

Mkuu hapo kwenye RED umetu-mislead!
Soma section 3 ya Magistrate Court's Act, Cap. 11, R. E. 2002,

Primary courts
(1) There are hereby established in every district primary courts ( NI ZAIDI YA MOJA ZINAWEZA KUWA NYINGI NA KILA MOJA INAKUWA NA UKOMO WA KIMAMLAKA KATIKA ENEO HUSIKA NDANI YA WILAYA TAJWA) which shall, subject to the provisions of any law for the time being in force, exercise jurisdiction within the respective districts in which they are established.

Courts of a resident magistrate
The Chief Justice may, by order published in the Gazette, establish courts of a resident magistrate which shall, subject to the provisions of any law for the time being in force, exercise jurisdiction in such areas as may be specified in the order.
 
Kutoka na majaji wengi kuwa na majukumu mengi Dar es salaam na muingiliana wa kesi na majukumu mengine nimemsikia Reporter wa ITV akisema Kesi ya LEMA itaamishiwa Dar es Salaam.

Source: ITV

Bado sijajua kama ndo makubaliano ya majaji maana Reporter wa ITV hajaongea in deep kama haya ndo makubaliano

kwa elimu yangu kidogo ya sheria ni kwamba: jopo la majaji huhitajika wakati wa hearing (kusikiliza) ya kesi! Ruling au decision hufikiwa na majaji wenyewe baada ya kuangalia submissions toka kwa mawakili wa pande zote. Lakini si kwa judgment (hukumu), katika hukumu kinachofanyika ni kusoma maamuzi ya kila jaji (ruling), kitu ambacho lazima tayari kimeandaliwa isipokuwa bado kukiweka wazi tu(judgment day). Sasa iweje kesi ambayo ni rufaa tu ihamishiwe Dsm eti kufuata majaji wakati kama kazi yao tayari walishafanya, isipokuwa kuisoma tu hiyo hukumu!?
No! Hapa si bure, nahisi rufaa imeshindwa thats why wanaepuka hasira za wananchi pale Arusha!
 
Back
Top Bottom