Chande: Hukumu ya Lema itahamishiwa Dar es Salaam

Huu ni ushahidi mwingine wa kuonyesha mahakama zetu ni ZERO!!!! Tukio litokee Arusha lakini kesi ikafanyike Dar!!! Ni majukumu gani hayo waliyokuwa nayo Dar ambayo hayawezekani kufanyika wakiwa Arusha!? Kuna mtandao, kuna simu, kuna usafiri wa uhakika kati ya Arusha na Dar na vice versa...sasa hebu wauambie umma wa Watanzania hayo majukumu ambayo hayawezekani kufanywa wakiwa Arusha.
 
Basi itabidi kesi zote za Mahakama ya Rufaa zifanyike Dar.

Hakuna siku kazi zitapungua, sanasana zitaongezeka zaidi kila siku
 
Ahaaaaaa!!! kwa maana hiyo kuanzia sasa kesi zote zilizoko mikoani zitakuwa zinahamishiwa Dar? Tanzania anything is possible!!
 
Ukiona ivyo Lema kashindwa ndo maana wameamua kuepusha shali kwa kuipeleka DSM
Mahakama kwa zama zetu ni muhimili unaojitegemea kweli?
 
Hapo penye red. unachukua PhD!!,,,,, hiyo PhD inauzwa bei gani nami nikanunue? ,,,, Ican buy ten of them.
 
Umati wa CDM uliokuwepo pale mahakamani Arusha ulikuwa unatisha. Inawezekana wameamua kwenda Dar ili hata rufaa ya Lema ikishindwa kusiwe na hofu juu ya usalama wao.
 
Nadhani Dsm itakuwa nzuri maana itapunguza gharama , hawa jamaa wanakaa huko Arusha wanatumia pesa yetu walipa kodi. Bora wakae dsm wakati huo wawe wanafanya na majukumu mengine.
 
hata wakienda ughaibuni hukumu hiyo itatikisa arusha.kwa nini hatukubali kuwa A-town ni ngome ya CDM?Tukumbuke kuwa chanzo cha rufaa ya kesi hii ni kuepusha hukumu mbovu isitumike kama reference na sio kuanguka kwa CDM arusha.

.
Wacha mahakama ijinyonge yenyewe na kamba itakayotumiwa baadae na wezi wa haki wakimrifaa Chande. Aibu ya huu mhimili ni aibu ya taifa vizazi hata vizazi.
.
 
Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.

Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'

Nakala: Matola, Kimbunga, Ngongo, Mungi, Crashwise, Candid Scope, Mwita Maranya, Molemo, nk

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams)),

tumbiri@jamiiforums.com

Mkuu hapo unaongelea Geographical jurisdiction. Nakumbuka kuisoma hii kwenye Business Law miaka hiyooo. Hapo ni kufunguiliwa sasa kuhusu suala la appeal sijui jurisdiction hiyo inasemaje.
 
Priority ya majaji wetu si wanachi wanaoguswa na haki, bali ni kazi zao hapa Dar

hebu jiulize ile kesi ilifunguliwa na nani>? wanaarusha
kesi ianhusu nini?? mbunge wa arusha
kesi ilifunguliwa wapi? Arusha
kesi inaathiri nani?? arusha
kesi imejadiliwa wapi?? arusha
hukumu?? dar

niliposoma tu kwamba akina chande wanaingia kwenye hiyo kesi nikajua sheria pembeni siasa kati

Inabidi Mahakama Ipange siku ambayo Kesi Itasomwa bila Huo Muingiliano!! Any way Majaji wa Voda Fasta Tegemea Lolote!!
 
Mkuu TUMBIRI nadhani majaji wanakimbizana na muda,unajua hizi kesi za uchaguzi lazima ziamuliwe ndani ya muda uliokubaliwa kisheria sioni kama kuhamisha kesi Dar ni tatizo sana kinachoangaliwa ni haki kutendeka.

Wakuu,
Mimi hapa HULL nasoma soma moja linaitwa Business Law. Katika moja ya vitu ambavyo Prof wetu ametu lecture ni kwamba always case is runned near to the court where the crime was committed. Na alisisitiza hiyo ni Stand of the Law. Ndiyo maana hata ile kesi ya kuuwawa kwa Mwangosi imefunguliwa Iringa na siyo Mbeya, Dodoma au Dar es Salaam.

Kwa msingi huo sidhani kama ni ethical kupeleka hii kesi ikasikilizwe na kuhukumiwa Dar es Salaam. Kamanda Tundu Lissu, najua upo kwenye msiba lakini kama unanisoma, sijui unaionaje hii hoja. Nadhani kuna haja ya kupinga hiyo hoja based on this 'Prominent Jurist Argument'

Nakala: Matola, Kimbunga, Ngongo, Mungi, Crashwise, Candid Scope, Mwita Maranya, Molemo, nk

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Best Student in Form Six National Exams)),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom